klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Tulieni nyinyi gooners, sisi fixture yetu ya sasa ni mteremko tu, tumebakisha na chelsea tu ndio tim ya maana na chelsea wenyewe kwasasa bora kucheza na majimaji ya songea. pale top three hatuganduki beleive u me. Usisahau tuna injuries piaHii timu inaweza isimalize ndani ya Top 4!
Kwanza nikupe pole kwa vichapo 2 mfululizo...kufungwa magoli 8 ndani ya game 2 ni aibu!Tulieni nyinyi gooners, sisi fixture yetu ya sasa ni mteremko tu, tumebakisha na chelsea tu ndio tim ya maana na chelsea wenyewe kwasasa bora kucheza na majimaji ya songea. pale top three hatuganduki beleive u me. Usisahau tuna injuries pia
Hivi gooners wanaaminika? yaani ile mlocheza jana mnaita soccer? Halaf mkuu mna wana wa jeordies hamjapiga nao, blues na city. Yaani wewe kaa mkao wa kula lakini nakuhakikishia nyinyi papatueni hapo ya nne na pool na geordies manake chelsea keshazikwa rasmi kwenye hiki kiputeKwanza nikupe pole kwa vichapo 2 mfululizo...kufungwa magoli 8 ndani ya game 2 ni aibu!
Kwa sasa Spur5 haiaminiki tena. Kumbuka mna Everton, Stoke, Chelsea, Swansea, Sunderland n so on. Sidhani kama mtaweza kushinda 50% ya hizi games.
Hahah...sasa hivi tunachezea bahati tu!Hivi gooners wanaaminika? yaani ile mlocheza jana mnaita soccer? Halaf mkuu mna wana wa jeordies hamjapiga nao, blues na city. Yaani wewe kaa mkao wa kula lakini nakuhakikishia nyinyi papatueni hapo ya nne na pool na geordies manake chelsea keshazikwa rasmi kwenye hiki kipute
Nyie mlifungwa goli 8 kwenye mechi mojaKwanza nikupe pole kwa vichapo 2 mfululizo...kufungwa magoli 8 ndani ya game 2 ni aibu!
Kwa sasa Spur5 haiaminiki tena. Kumbuka mna Everton, Stoke, Chelsea, Swansea, Sunderland n so on. Sidhani kama mtaweza kushinda 50% ya hizi games.
Nyie mlifungwa goli 8 kwenye mechi moja
Ile Arsenal ilikua unsettled, siku ile walicheza makinda wengi. Spurs wako kamili na key players wao wote wapo! Na leo wanalala kwa Everton. HT 1-0
Inatakiwa tushinde tu game yetu na Newcastle kesho!.....yametimia, hahaha.....spuds mpoooo?
Hivi gooners wanaaminika? yaani ile mlocheza jana mnaita soccer? Halaf mkuu mna wana wa jeordies hamjapiga nao, blues na city. Yaani wewe kaa mkao wa kula lakini nakuhakikishia nyinyi papatueni hapo ya nne na pool na geordies manake chelsea keshazikwa rasmi kwenye hiki kipute
heheeh sawa bana! uzuri ni kwamba tuna marehemu watatu tukifyetuka na wao wanafyetuka, nyinyi ambaeni sisi tutakomaa apo apo ya nne sio mbaya.....koh-koh......cough, cough!!!....
this is how we cracked ile gape ya points 13 , 10 , 7, 4 , 1 , 0 -1...... weekend mnapewa kichapo na chelsea -4!!:lock1:
"twinkle twinkle little star, how I wonder what you are..!"
jamani ee, zile nyota nyota angani kumbe walikuwa wale wadudu
vimulimuli tu? Newcastle hao hapo nao wamewawashia Indicator...
mbane, muachie...wanakula shavu sooner or later.
.........Shedafaaaaaaaaa, Klorokwiniiiiiiiiiiii come back pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz!
.......klorokwini, shedafa.......mmefuliaaaa!!!!!!!!!!!
Haya ngoja niifufue huu uzi, ingawa sina uhakika kama nasi tutavuma mwaka huu pamoja na usajili wa kufuru tuliofanya. Mheshimiwa Mbu rafiki yangu, ombi lako nimetimiza.
Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!.