permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Spurs ni timu yangu ya kubeti, ni kama ulivyosema uko na Mourinho katika ile game dhidi ya Leister ili Man amalize kwenye nafasi nzuri. Kwa hawa wachezaji Mou alionunua wa buku na wanapiga kazi naendelea kumwona kama kocha bora kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]...Kumbe upo rasmi spurs..kilichokuwa kinakufanya ujifiche kwenye kichaka cha kuwa united huku ukipinga Mourinho kufukuzwa ni nini?
Bale na Visincious kama moto haujakoleay vizuriMkuu labda useme beki. Ila washambuliaji wapo wengi tu mbona wazuri
Kwenye wing ya kulia bado kuna shida. Inabidi Bale a-step up kabla ya January.Mkuu labda useme beki. Ila washambuliaji wapo wengi tu mbona wazuri
Mpira unaevolve ndani na nje ya uwanja. Kudhani kuwa United haiwezi poteza shabiki ni kuwa na matarajio makubwa sana. Kwa siye tulioishabikia United ile ya ushindani ni ngumu sana kuendelea kushabikia hawa amateurs wa sasa (kuanzia mgt, bench, mpaka squad).[emoji23][emoji23][emoji23]...Kumbe upo rasmi spurs..kilichokuwa kinakufanya ujifiche kwenye kichaka cha kuwa united huku ukipinga Mourinho kufukuzwa ni nini?
Jose aliwaambia wachezaji wiki kadhaa zilizopita kuwa tunaweza kutwaa ubingwa acha hizo kombe ndogo ndogo ambazo lazima tubebe walau mbili, Europa inclusive.Mpira unaevolve ndani na nje ya uwanja. Kudhani kuwa United haiwezi poteza shabiki ni kuwa na matarajio makubwa sana. Kwa siye tulioishabikia United ile ya ushindani ni ngumu sana kuendelea kushabikia hawa amateurs wa sasa (kuanzia mgt, bench, mpaka squad).
We jamaa unakuja kuzurura humu na kupiga umbea kumbe hata Evaton anakutoa kamasi.!?[emoji23][emoji23] Mkuu muda utasema nan atashika adabu kwa sababu najua leo Mou anakuja kutafuta draw
Mou na Ancelloti nimemfunga msimu uliopita kwa hiyo sasa hivi lazima wakamie mechi kama ilivyotokea kwenu na jana kwa Everton. Lakini pamoja na ivyo majeruhi nao wamechangia kupoteza janaWe jamaa unakuja kuzurura humu na kupiga umbea kumbe hata Evaton anakutoa kamasi.!?
Ukijibiwa niambieHii timu mara ya mwisho kuchukua kombe ni lini?
Mbona sijibiwi?
Acha unafiki, msimu uliopita Mou alicheza karibia game zote bila Harry Kane na Son na ndipo mlipomfungia. Sasa Chelsea imefanya usajili mkubwa ni vyema kulalamika mchezaji 1 au 2 hawapo ndio sababu ya kufungwa? Pia usisahau kabla ya game ya mwisho ulitoka kupoteza kwa Mou on penalties, hivyo nyie ndio mlipaswa kukumia na sio yeye.Mou na Ancelloti nimemfunga msimu uliopita kwa hiyo sasa hivi lazima wakamie mechi kama ilivyotokea kwenu na jana kwa Everton. Lakini pamoja na ivyo majeruhi nao wamechangia kupoteza jana