permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Spurs ni timu yangu ya kubeti, ni kama ulivyosema uko na Mourinho katika ile game dhidi ya Leister ili Man amalize kwenye nafasi nzuri. Kwa hawa wachezaji Mou alionunua wa buku na wanapiga kazi naendelea kumwona kama kocha bora kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23]...Kumbe upo rasmi spurs..kilichokuwa kinakufanya ujifiche kwenye kichaka cha kuwa united huku ukipinga Mourinho kufukuzwa ni nini?