Tottenham Hotspurs Thread

Mkuu katika hizo game sisi hatukua tumesajili nyie mlisajili. Sisi tulikua na 60% academy players bado unaleta sababu za Son na Kane kutokuwepo lakini unaikataa sababu yangu ya key player kutokuwepo kumechangia sisi kupoteza jana.

Sijui unabisha nini hapo?
 
Tutajie wachezaji aliosajili Tottenham msimu uliopita.
 
Wadau msimaindi ile draw na Palace. Looserpool nao wameshikwa shati. Tunaendelea kukaa kileleni.
 
Ngoja tuone kipindi cha pili kitakuwaje ila mpaka sasa tumeweza kuudhibiti mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…