Asanteni sana Spurs
Siku zote huwa unatabiri vizuri ila sina uhakika na utabiri huu, maana unaonekana kuongozwa na mapenzi. Ngoja tuone, ila nimefurahi wote mmekubali kuwa safari hii hatukuwa wasindikizaji, bali washindani idumu SPURS!
Hapendwi mtu hapa, tunaweza tukawatoa nishai vilevile ohoo!
Nimeona mkuu, hongereni!mwaka huu tukichukua ubingwa lazima SPURS tuwaalike kwenye party,mmetusaidia sana,i hope mmeridhika na hizi points 6 kutoka kwa arse na chelsick,msikomae sana OT kwani lazima mle kichapo si unajua mkija OT ni kama mbwa kwa chatu!!!!
i told you!!
Ooops ..mtangazaji anasema speculation ni kwamba Ade ndio most highly paid player ktk UK at the moment..loool i wonder ndo maana the Arse wanampiga madongo..
Ukifanya mathematical analysis ya probability kwamba at any time t , probability ya Ade kuwa fit is greater than probability ya kumkuta Torres au van Persie fit. He worth it the money.hapigwa madongo kwa ajili ya hilo,wewe ushangai kumuona ade analipwa zaidi ya torres? huo ni wazimu tu wa man city wana hela za kuchezea.
Ukifanya mathematical analysis ya probability kwamba at any time t , probability ya Ade kuwa fit is greater than probability ya kumkuta Torres au van Persie fit. He worth it the money.
Unaeza kutumia criterion ileile kupima probability kati ya kumkuta Gallas fit na ile ya kumkuta Habib Toure fit..pamoja na kwamba Habib Toure alikuwa sehemu ya timu yenye mafanikio ya kutofungwa msimu mzima lakini bado alikuwa akichukua take home kidogo kuliko Galas. lol..Haya tuangalie mechi mwanawane.mkuu wewe unapenda ubishi sana.tuangalie mechi.
Sielewi kwanini Viera hajaanza pale kati, maana ana zile pasi zake za kama kisu cha moto kwenye siagi.