Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Asanteni sana Spurs

Warakoze neza. Kwanza waliwafunga speed governor Arsenal & Chelsea then wametupati 3 points today. Nawaombea kila la kheri katika kugombea fourth place. Namuombea kila la kheri mtani wetu Arsenal hapo baadae aifunge Man City, ili Liverpool awe na sababu ya kufanya the needful when meet with Chelsea
 
Siku zote huwa unatabiri vizuri ila sina uhakika na utabiri huu, maana unaonekana kuongozwa na mapenzi. Ngoja tuone, ila nimefurahi wote mmekubali kuwa safari hii hatukuwa wasindikizaji, bali washindani idumu SPURS!

mwaka huu tukichukua ubingwa lazima SPURS tuwaalike kwenye party,mmetusaidia sana,i hope mmeridhika na hizi points 6 kutoka kwa arse na chelsick,msikomae sana OT kwani lazima mle kichapo si unajua mkija OT ni kama mbwa kwa chatu!!!!

i told you!!
 
Hapendwi mtu hapa, tunaweza tukawatoa nishai vilevile ohoo!

Hehehe nyie tangu sijui lini hamjatufunga Old Trafford, mlitegemea leo mngetufunga? Ila lile goli la Nani lilikuwa tamu sana.
 
mwaka huu tukichukua ubingwa lazima SPURS tuwaalike kwenye party,mmetusaidia sana,i hope mmeridhika na hizi points 6 kutoka kwa arse na chelsick,msikomae sana OT kwani lazima mle kichapo si unajua mkija OT ni kama mbwa kwa chatu!!!!

i told you!!
Nimeona mkuu, hongereni!
 
Mods mtaiweka kwenye thread ya mshindi wa mechi hii, au ikiisha droo basi iende kwa Spurs kwa sababu wapo juu ya City..

Dk 90 zakaribia kuanza.
 
BTW, naweka pesa yangu kwa Man City. Spurs sidhani ..labda waende kwa staili ya kudefend..
 
Ooops ..mtangazaji anasema speculation ni kwamba Ade ndio most highly paid player ktk UK at the moment..loool i wonder ndo maana the Arse wanampiga madongo..
 
Ooops ..mtangazaji anasema speculation ni kwamba Ade ndio most highly paid player ktk UK at the moment..loool i wonder ndo maana the Arse wanampiga madongo..

hapigwi madongo kwa ajili ya hilo,wewe ushangai kumuona ade analipwa zaidi ya torres? huo ni wazimu tu wa man city wana hela za kuchezea.

sisi ndio tuliamua kumuacha kwanini tumpige madongo?
 
hapigwa madongo kwa ajili ya hilo,wewe ushangai kumuona ade analipwa zaidi ya torres? huo ni wazimu tu wa man city wana hela za kuchezea.
Ukifanya mathematical analysis ya probability kwamba at any time t , probability ya Ade kuwa fit is greater than probability ya kumkuta Torres au van Persie fit. He worth it the money.
 
Ukifanya mathematical analysis ya probability kwamba at any time t , probability ya Ade kuwa fit is greater than probability ya kumkuta Torres au van Persie fit. He worth it the money.

mkuu wewe unapenda ubishi sana.tuangalie mechi.
 
mkuu wewe unapenda ubishi sana.tuangalie mechi.
Unaeza kutumia criterion ileile kupima probability kati ya kumkuta Gallas fit na ile ya kumkuta Habib Toure fit..pamoja na kwamba Habib Toure alikuwa sehemu ya timu yenye mafanikio ya kutofungwa msimu mzima lakini bado alikuwa akichukua take home kidogo kuliko Galas. lol..Haya tuangalie mechi mwanawane.
 
Sielewi kwanini Viera hajaanza pale kati, maana ana zile pasi zake za kama kisu cha moto kwenye siagi.
 
I am supporting Spurs nafasi ya nne! Hawa waarabu wataharibu soko la wachezaji!
 
Back
Top Bottom