Game kama hizi ndiyo inapaswa kufanya mauaji. Mpinzani hana ulinzi kabisa. Siyo mbaya. Sasa tumeingia kundi la pointi 29. Hii ligi ni [emoji91][emoji91][emoji91]. Kabla ya mchezo huu, timu 6 zilikuwa zimefungana pointi (26) zikikalia nafasi ya 5 mpaka 10.
Bale alitarajiwa awe back up nzuri ya hawa, ila sioni dalili. Timu inahitaji kuimarisha beki za kati na mshambuliaji aliye na uwezo wa kutupia.Bado imejengwa kuwazunguka Kane na Son. Mourinho ana kazi ya kuijenga upya isiwe timu ya wachezaji wawili tu.
Bale kwa kweli anazingua maana hata game ndogo anazoanzishwa hana sharpness kabisa. Kwa jinsi kocha alivyoongea jana kuhusu usajili ametengeneza "utata" ikiwa tutasajiri au la.Bale alitarajiwa awe back up nzuri ya hawa, ila sioni dalili. Timu inahitaji kuimarisha beki za kati na mshambuliaji aliye na uwezo wa kutupia.
Kwa jinsi City walivyocheza game ya juzi na Chelsea, nimeanza kuwa na hofu wanaweza kuwatoa. Mkumbuke kuwa hamna kocha pale hivyo mechi zinazoamuliwa kwa mbinu kama hizi za knockout mnakutana na majanga.Mushinde leo tukutane final, ili isionekane MUFC kamchukulia (kombe) kibonde.
Waandishi wengi wa habari kwa kutompenda Jose hujikuta wanaishia kuonekana wajinga zaidi.
Umeona eee. Hako katimu ilipaswa kukaoshea kabisa. Hakawezi kukaa na mpira dakika nzima. Wakongwe akina Moura, Dele Alli, walikuwa wanagongeana visigino tu badala ya kufunga magoli wasafishe nyota zao zilizofifia.Haya matimu makubwa yamekuwa ya kiboya Sana.
Hao watoto walitakiwa wale hata 20-0
Mou hataki uonevu uliopitiliza.Umeona eee. Hako katimu ilipaswa kukaoshea kabisa. Hakawezi kukaa na mpira dakika nzima. Wakongwe akina Moura, Dele Alli, walikuwa wanagongeana visigino tu badala ya kufunga magoli wasafishe nyota zao zilizofifia.
Ha ha haaa. Anapenda kumuheshimu kila mpinzani.Mou hataki uonevu uliopitiliza.