Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Hizo mechi tulizofanya vibaya zote alianza na kikosi cha pili ambao kama alivyosema "hawana motivation". Kwenye knockouts itakuwa full squads na hapo ndipo watu watamkumbuka yule Jose wa vikombe. Yule Jose ambaye aliwapa United vikombe vyao vya mwisho kubeba.
Arsenal europa anachezesha wakina Soares
 
Hili chama linakwenda kupewa heshima yake stahiki muda si mrefu. Imefika hatua Spurs inajiona ina "wajibu" wa kushinda Anfield kwa timu bora ya dunia!?

Beast mode activated. We are out for glory.

View attachment 1652710View attachment 1652711
Liverpool alikua na chansi ya kugombea ligi na ucl ufinyu wa kikosi ukamfanya akazanie ucl.

Msimu uliofuata akajikuta na tatizo hilo hilo akajikuta anakazania ligi.

Msimu huu bado ana tatizo hilo hilo.

Kocha wao hua anaongea kwa dharau kwamba hahangaiki na vikombe vidogo lakini siyo kweli sababu kuu ni kutokua na kikosi kipana.

City misimu kadhaa nyuma alikua anaweza kugombea vikombe vyote misimu ya hv karibuni haiwezekani tena as hana kikosi kipana.

Tunakuja kwenu.

Wewe unasema kikosi kilichopigwa na kusuluhu ni cha pili (ni uongo ila ngoja nidebunk logic yako) hivyo ili ushinde inabidi uchezeshe kikosi cha kwanza.

Hiki kikosi cha kwanza inabidi kicheze kwenye ligi pia. Kwa hiyo focus iko wapi? Ligi europa? Hakiwezi kushika vyote kuna kimoja kitateleza hivyo jiandaeni kutia aibu europa kwakua kwa sifa za mourinho atataka kugangamala kwenye ligi.
 
Tupate wadhamini kidogo kabla hatujaendelea. Picha chini: Jose akijiuliza maswali juu ya mipira mitatu aliyobeba. Je ni yale magoli mazuri matatu dhidi ya West Ham? Je ni yale magoli matatu ya West Ham baada ya dk ya 82? Au hiyo miwili ya chini ni Europa 2 alizobeba na huo wa juu ni ile atakayobeba mwaka huu?

images%20(1).jpg
 
Liverpool alikua na chansi ya kugombea ligi na ucl ufinyu wa kikosi ukamfanya akazanie ucl.

Msimu uliofuata akajikuta na tatizo hilo hilo akajikuta anakazania ligi.

Msimu huu bado ana tatizo hilo hilo.

Kocha wao hua anaongea kwa dharau kwamba hahangaiki na vikombe vidogo lakini siyo kweli sababu kuu ni kutokua na kikosi kipana.

City misimu kadhaa nyuma alikua anaweza kugombea vikombe vyote misimu ya hv karibuni haiwezekani tena as hana kikosi kipana.

Tunakuja kwenu.

Wewe unasema kikosi kilichopigwa na kusuluhu ni cha pili (ni uongo ila ngoja nidebunk logic yako) hivyo ili ushinde inabidi uchezeshe kikosi cha kwanza.

Hiki kikosi cha kwanza inabidi kicheze kwenye ligi pia. Kwa hiyo focus iko wapi? Ligi europa? Hakiwezi kushika vyote kuna kimoja kitateleza hivyo jiandaeni kutia aibu europa kwakua kwa sifa za mourinho atataka kugangamala kwenye ligi.
Uchambuzi hai kabisa. Umenena vyema kabisa kuhusu Looserpool na City. Napenda sana kuona mpira unajadiliwa na mtu anayeujua na kuufuatilia kisawasawa.

Ila kuhusu Spurs ngoja nikupe kidogo story ya Jose kutaka vyote msimu huu.

Ifahamike kuwa makocha wengi waliofanikiwa na kutwaa vikombe vingi kama vile SAF, Pep na Jose, huwa hawachagui vikombe na ndiyo sababu makocha hawa wametwaa vikombe vingi. Na hii ndiyo sababu Klopp anaweza kuishia kuwa na jina kubwa kuliko idadi ya vikombe kama mzee Wenger.

Aghalabu hutokea misimu ambayo hawawezi kugombea kila kitu. Mf; Pep na Jose 2016/17.


Jose na makombe madogo msimu huu:

Kabla ya dirisha la usajili lililopita ilikuwa wazi kuwa Spurs wangekuja msimu huu kugombea makombe 3 ya Europa, FA na Carabao. Kuhusu Europa Jose alinukuliwa akisema kuelekea mchezo wao dhidi ya Leicester ambao ungewapa ticket ya kucheza Europa kuwa aliwaambia wachezaji kwamba wamebakiza mchezo mmoja tu "watwae" Europa. Yaani kwamba kwa kushiriki tu wamekwisha beba kombe. Hapo haihitaji kujiuliza Jose ana dhamira gani na kombe hilo.


Jose na EPL msimu huu.

Imani ya kuwa timu yake inaweza beba ubingwa wa ligi ilianza baada ya dirisha kukamilika na Levy kumpatia wachezaji wengi zaidi ya matarajio yake (kwa mujibu wake mwenyewe).

Alipewa wachezaji 7 ambao wanagusa karibu kila eneo aliloripoti udhaifu kwa klabu. Ni mchezaji mmoja tu ambae hakupewa alichotaka miongoni mwa hao; Joe Rodon kutoka Swansea badala ya Milan Skriniar. Inadaiwa kuwa baada ya mechi mbili tatu za ligi aliwaambia wachezaji wake kuwa "anadhani wanaweza pia kutwaa ubingwa wa ligi.


Kikosi gani kimecheza Europa.

Kwenye raundi 3 za awali kama ilivyotarajiwa, alitumia kikosi cha kwanza. Baada ya mechi za makundi kuanza aliamua kuwatumia squad players. Tatizo likawa Spurs haishindi mpaka alazimike kuwaingiza senior players. Na hili alililalamikia mara nyingi kwamba linamfanya ashindwe kufanya rotation.

Tarajia kwenye knockout games (siyo za Europa tu) kuwa atakuwa akishusha full squad huku akijaribu kuua mchezo mapema ili awapumzishe nyota wake kwa ajili ya michezo ya ligi.


NB: Ikumbukwe kuwa Jose hahitaji kikosi kikali kubeba knockout cups. Anachohitaji ni kikosi chenye balance ya kiwango flani tu na wachezaji wanaomtii. Rejea alivyotwaa Europa na Carabao mwaka 2017 na kile kikosi cha United ambacho makocha wengi tu wakubwa wangeshuka nacho daraja. Siku ya fainali na Ajax, wachezaji watano wa kikosi cha kwanza walikuwa na magongo!
 
Umejaribu kuchezesha hao mechi ngapi? Ngapi umepata matokeo?
Mechi alizoanza na combination za washambuliaji Moura/Bale/Vinicious/Berwine/Dele na viungo Winks/Sissoko timu haikupata matokeo mpaka pale alipowaingiza Son/Kane/Hojbjerg/Ndombele/Lo Celso.

Siyo kwamba hao wachezaji wasioperform ni wabaya, la hasha, ndiyo hao waliifikisha Spurs fainali mwaka jana. Tatizo lao ni kukosa motivation uwanjani. Hajali ulazima wa kupata matokeo. Ndiyo sababu Jose akasema anashangaa wale walio kikosi cha kwanza ndiyo wanajituma hata kwenye mechi ndogo.
 
Kweli?

Mmepigwa na Royal Antwerp.

Mmesuluhu tatu tatu na Ludogorets.

Ni kweli hakuna wapinzani?
Ungeangalia na kikosi vilivyoanza, huyo Antiwerp kanyooshwa game ya mwisho ?hizo game hizo siyo kipimo sahihi.
 
Ungeangalia na kikosi vilivyoanza, huyo Antiwerp kanyooshwa game ya mwisho ?hizo game hizo siyo kipimo sahihi.
Mbona Arsenal na leicester wameanzisha squads za kawaida na walikua wanashinda?
 
Mbona Arsenal na leicester wameanzisha squads za kawaida na walikua wanashinda?
Unaijua squad ya kawaida ya Spurs jombaa. Namba 10 ni kaka yake Dele Alli [emoji23][emoji23][emoji23]. Holding midfielder ni Harry Winks! Winger ya kulia ni Bergwijn na huyu kaka yake Bale!
 
Kushindwa kulinda siyo kosa la Mourinho.

Yeye kashawafanya mpate goli tatu kisha Westham anarudisha na Ludogorates anarudisha. Hapo kosa lake liko wapi?

Hawa wachezaji ni average ila wamepigwa morali ila inaelekea kufifia kadri muda unavyoenda.
We jamaa unajua mpira [emoji109]
 
Jozeee anawapenda waafrika anatamani timu yote wawe black
Anachopenda Jose ni attitude, mentality na physicality bila kujalisha rangi ya mhusika. Ukitaka kuelewa vema rejea Frank Lampard, McTominay vs Ndombele, Danny Rose, Pogba, Martial, etc utaona namna ambavyo rangi haihusiki.
 
Tatizo ni kupack bus. Hizo mechi zote zote alizopigwa mwishoni ni zile alizopack bus akashambuliwa na muda mrefu hadi goli zikapatikana. Jose hata akiwa anaongoza kwa goli moja tu anaanza kupack bus tofauti na timu kama liver/man city hata iwe inaongoza goli 3 bado atakuletea moto ule ule akitaka aongeze magoli yafike hata 10.
Naunga mkono hoja. Bus huwa linatugharimu. Japo nikikumbuka pia mechi zenye pressure kubwa ya mpinzani ambazo Jose hufunguka, hipigwa magoli mengi. Jamaa akiwa na defense dhaifu haamini kabisa timu yake kuelekea mwisho wa mchezo.
 
Hii timu haina kwaliti ya kubeba ubingwa.
Hilo liko wazi. Ukiangalia kwa mfano quality gap baina yakena most favorites Looserpool, ni kubwa sana. Pia inaachwa kwa mbali na vikosi vingine bora na vipana; City, Chelsea.

Ila competitive advantage waliyonayo dhidi ya washindani wengine (ukitoa hao Looserpool ambao beast mode ilikuwa activated tangu 2015) ni zile collective mentality na attitude za kudhani kuwa wanao wajibu wa kuitwaa ndoo.

Pia wanaye kocha bora zaidi aliye kazini kwenye ilimwengu wa soka. Hiyo inafanya wapate matokea hata kwa kutumia Eric Dier kwenye CB na Stevie Bergwijn kwenye RW.
 
Back
Top Bottom