Tour in Zanzibar

Hii 35,000 ni hapo stone town?

Hebu Nipe connection mie

Mara kibao nakuja nalala kuanzia 60k-100k ina maana napigwa?

Namie nimeshangaa Kuna machimbo ya 35k wapi huko? Lodge nnayoifaham ya Bei ndogo lakini Ina hadhi nafikiri ni kuanzia 50k au 60k wanaita Baraste. Hizo guest za 35k sijajua Zina Hali Gani.

Isijeikawa kula Alnoor karibia na CCM mazingira sio Rafiki sana Kwa utalii.
 
Nasikia pia airport ya Zanzibar haisumbui kama ya hapa dar
 
Haha tuende zetu tena mwaya, tupande zetu Kili IV tukae kule Mkiani, tuoge chumvi [emoji3][emoji3]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tukifika si tutaoga tu!
 
Pale ccm kuna siku nimelala baada ya kukosa Baraste ila nililipia 60k Kama sijasahau

Pale kelele pale hapafai hata robo
 
Asante mkuu million ngapi kwa familia ya watu 3

Mimi sio Specialists wa hizi safari lakini huku Arusha kuna kampuni nyingi sana za utalii ukitaka day trip ni bei ya chini kidogo , ukilala huko kama utalala hotelinj bei inakuwa juu kama utalala campsites bei inapungua kidogo so hapo ninachotaka kusema ni kwamba request zako za safari ndo bei ambayo watakupa.
Kama utataka suggestion za best tour companies ntakupa ila the best services ni gharama kidogo .

NB :Serengeti kutokea Arusha geti la Ngorongoro hamna day trip lakin kwa tarangire na Ngorongoro Day trip inawezekana
 
Mtu mwadilifu na mwaminifu kwanini uogope kuweka mawasiliano hapa?

Hii ni biashara unaogopaje kuweka mawasiliano?
 
Utafuatwa na watu wote wakisema wao ni yeye [emoji23]
Hapo cha msingi ni yeye atoe namba kwan kuna ugumu gan na anafanya kitu legit ?
Umenena vyema mkuu ila kwakua sina namna, hao watu acha wajeπŸ˜‚tutaelewana huku huku.
 
Mtumishi,
Nimesoma tu hapa, mpaka nimetamani nipange safari kesho..πŸ™Œ
 
Nimekuelewa mkuu ila toka jana ndo kwanza napata nafasi ya kuingia jamvini Sasa hivi

Nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Hii 35,000 ni hapo stone town?

Hebu Nipe connection mie

Mara kibao nakuja nalala kuanzia 60k-100k ina maana napigwa?
Hhhhhhhh pole dada ni PM nikuelekeze lodge nzuri
 
Asante mkuu nimepata mwanga wa kuweka uamuzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukifika si tutaoga tu!
Haha hadi uje unawe au ukaoge utakuwa ushawaongezea watu wataokutazama usoni siku za kuishi kwa kuwachekesha, maana hata ukijipukuta hiyo chumvi bado tu uso unakuwa umepauka, unaonekana tu huyu amesafiri mkiani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si ndio utakuwa umeamua kunifanyia mambo meusi, mie nitafanyaje sasa!!

Fanya unipeleke Zanzibar bwana, nitazeeka sipajui etiπŸ™†πŸ™†
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio utakuwa umeamua kunifanyia mambo meusi, mie nitafanyaje sasa!!

Fanya unipeleke Zanzibar bwana, nitazeeka sipajui eti[emoji134][emoji134]
Aahh wewe ambaye ukifika unaishia kujifungia ndani tu wakati Sehemu kama hizo zinataka kuzurura [emoji2][emoji2]
 
Aahh wewe ambaye ukifika unaishia kujifungia ndani tu wakati Sehemu kama hizo zinataka kuzurura [emoji2][emoji2]
With you, it will be a marvelous experience. Its who you with, you know😜😜😜
 
With you, it will be a marvelous experience. Its who you with, you know[emoji12][emoji12][emoji12]
Haha kwa hela gani maana enjoyment nayo inataka hela, nauli ya mkiani tu shida wakati mwingine unatamani uwaambie naombeni nisitoe nauli, fungeni tu kamba kule nyuma halafu mimi niishikilie muwe mnaniburuza Baharini hadi tunafika [emoji16][emoji16]
 
Haki nimechekaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Basi watatuburuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…