The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Hii 35,000 ni hapo stone town?
Hebu Nipe connection mie
Mara kibao nakuja nalala kuanzia 60k-100k ina maana napigwa?
Namie nimeshangaa Kuna machimbo ya 35k wapi huko? Lodge nnayoifaham ya Bei ndogo lakini Ina hadhi nafikiri ni kuanzia 50k au 60k wanaita Baraste. Hizo guest za 35k sijajua Zina Hali Gani.
Isijeikawa kula Alnoor karibia na CCM mazingira sio Rafiki sana Kwa utalii.