Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

Hao Tigo hata backup ya kuanzisha system nyingine wanayo?

Maana hapa kuna kuna disaster recovery na business continuity.

Ina maana wamepigwa mpaka DR servers? Au hawana DR servers?

In any case. Kuwalipa hao watu kutawapa kichwa na mtaji wafanye huo ushenzi wao zaidi tu.

Wajipange kuwapotezea na kuendelea upya kama wabongo walivyoipotezea Corona.
 
Usicheze na HACKERS! Hao wana uwezo wa kudukua makampuni mbali mbali makubwa duniani na kuondoka na $$$ in millions kama ransom itakuwa kampuni ndogo kama Tigo?
Hao jamaa ni hatari sana na ni tishio kubwa sana kwa makampuni mengi duniani.

 
Makampuni mengi bongo kwenye IT ni ovyo......cheap labour na kujuana kwingi....acha wanyooshwe kwa izo bitcoin
 
Usicheze na HACKERS! Hao wana uwezo wa kudukua makampuni mbali mbali makubwa duniani na kuondoka na $$$ in millions kama ransom itakuwa kampuni ndogo kama Tigo?
Hao jamaa ni hatari sana na ni tishio kubwa sana kwa makampuni mengi duniani.
Leo kuna kitu kinaendelea Google huko. Kuna outages si za kawaida. Pia kuna ma serverless botnet yamevamia SSH servers kibao.

Jamaa wanasumbua dunia nzima. Ila kwa Kibongobongo wanakuta admin ana server la IIS lina more holes than Swiss cheese halafu halijafanyiwa patching mwaka.

Hapo unawaalika tu waje kukufanyia mbaya.

Nilishapata purukushani na watoto wa Kituruki zamani sana. Wali deface IIS server yangu. Frontpage. Ila nilikuwa nina automated monitoring ikani alert mara moja. Kwa hiyo hawakuweza kufika mbali sana kwa sababu nilikuwa na layered security. Nikajifunza kwamba haya mambo si mchezo.
 

Leo hata Gmail ilikuwa ina tatizo sana ..
 
Mwingine alidukua KFC akijipa premium membership akawa anakula mabawa ya ndege na vibanzi kwa muda mrefu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji182][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo hata Gmail ilikuwa ina tatizo sana ..
Kuna file la kitabu kama 10 MB nilikuwa natuma na Gmail. Kawaida ni kitu cha mara moja tu.

Leo imenibidi nirudie mara nne ndiyo nikaweza kutuma.

Kuna watu wengine hawana connection kabisa.
 
Hii kitu hata serikalini ni hivyohivyo, watu wa IT ukiona mishahara ya utacheka so wanaobaki ni wale vilaza tuu..
 
Mbona JF haidukuliwili ? Kuna wanao dukuliwa kwa kuzidiwa na wanao dukuliwa kwa uzembe.. Tigo huo ni uzembe na sio kwamba wamezidiwa
Wewe ni mgeni humu JF?
Kila mwaka wa uchaguzi mkuu ile siku ya kupiga na kuhesabu kura JF inashambuliwa.
Wakati wa maandamano flani ilishambuliwa.

Google, Yahoo, Hotmail na nyingine zimeshawahi kudukuliwa mara kadhaa na password za mamilioni ya watumiaji wake worldwide zilikuwa mikononi mwa wadukuaji.
Kwanza nenda kwenye Find out if you’ve been part of a data breach ukakague email account yako kama haijadukuliwa ndani ya miaka 15 hii.
 
Watu wanashindwa kujua JF ni forum tu na ziko maelfu kwa maelfu.
Na ajabu wakija kuzijua watashangaa ziko similar na JF kwa 99%
 
Huyu hacker ni mbongo tu hata kingereza hajui.."your website have been"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…