jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Ulimwengu was ICT hakuna mtaalamu kuzid kila kukicha watu wanagundua mbinu mpya na ndo mana mpaka website ya selikal ya USA ilidukuliwaHii haihalalishi Tigo Kudukuliwa
You mean kuwa na exposure na masuala ya ICT ni kutojua kuwa kudukuliwa ni uzembe? Ndio maana watu wanasoma Cyber Security.
Haijawah na madhara Ila Kuna wadukuzi wakiamua wanafanga mamboMbona JF haidukuliwili ? Kuna wanao dukuliwa kwa kuzidiwa na wanao dukuliwa kwa uzembe.. Tigo huo ni uzembe na sio kwamba wamezidiwa
Sawa na Tsh ngapi mkuu?
Tsh.8,237,682,180Sawa na Tsh ngapi mkuu?
SawaHaijawah na madhara Ila Kuna wadukuzi wakiamua wanafanga mambo
Shambuli la JF hua ni DDoS Attack .. sio kama hilo la Tigo. Kabla ya kuniambia sijui JF ulitakiwa uniulize nikuchambulie kila aina ya attack.. na ningekueleza why nasema tigo ni wazembe na sio kwamba wamezidiwa.. Dunia hii uwezi fanya code kizembe zembe watu wasikuzingueWewe ni mgeni humu JF?
Kila mwaka wa uchaguzi mkuu ile siku ya kupiga na kuhesabu kura JF inashambuliwa.
Wakati wa maandamano flani ilishambuliwa.
Google, Yahoo, Hotmail na nyingine zimeshawahi kudukuliwa mara kadhaa na password za mamilioni ya watumiaji wake worldwide zilikuwa mikononi mwa wadukuaji.
Kwanza nenda kwenye Find out if you’ve been part of a data breach ukakague email account yako kama haijadukuliwa ndani ya miaka 15 hii.
hao wadukuz unawajuaTigo huo ni uzembe na sio kwamba wamezidiwa
.tu anayekushambulia kwa njja ya ddos anaweza kjbadilisha aina ya mashambulizi usijiaminishe egi huwa ni DDOS TU.Shambuli la JF hua ni DDoS Attack .. sio kama hilo la Tigo. Kabla ya kuniambia sijui JF ulitakiwa uniulize nikuchambulie kila aina ya attack.. na ningekueleza why nasema tigo ni wazembe na sio kwamba wamezidiwa.. Dunia hii uwezi fanya code kizembe zembe watu wasikuzingue
Hawajakamatwa?hawakukamatwa? Baada ya hayo matukio?Wakati nipo chuo nchini india recturer alituletea habari 2 zilizonishtua sana. 1 ni ya Hamza Bendelladj jamaa aliye hack mabank zaidi ya 200 na kujilipa kiasi cha fedha kikubwa sana kama dola molioni 280. Na ingine ambayo mwalimu wangu alishirikishwa naye ni alikuwa hacker walihack system ya nchi fulani siwezi kuitaja hapa na kuiendesha hiyo nchi kwa siku 5 kwa maana ya malipo na vitu vingine mpaka walipopewa chao.
Hahaaaaaa, daahMwingine alidukua KFC akijipa premium membership akawa anakula mabawa ya ndege na vibanzi kwa muda mrefu sana
Haijalishi anajua kiingereza au hajui ndo kashadukua tayari. Pia kuna nchi zingine nyingi hazitumii kiingereza na hawajui kiingereza.Huyu hacker ni mbongo tu hata kingereza hajui.."your website have been"
Pia ukijilinda haimaanishi kuwa huwezi kuvamiwa na kuathiriwa.Haimaanishi hakuna njia za kujilinda
Hujanielewa ninacho maanisha..tu anayekushambulia kwa njja ya ddos anaweza kjbadilisha aina ya mashambulizi usijiaminishe egi huwa ni DDOS TU.
NielewesheHujanielewa ninacho maanisha.
Mnawapa credit za bure wairan na wakorea. Hushpuppy ni Mnaijeria na alitajirika kwa kazi hiyo, sema tu alianza kujionyesha mno mitandaoniAcha hiyo kampuni ya Tigo, USA yenyewe hudukuliwa na wabobezi wa North Korea pamoja na Iran.
Mkuu mbona wateseka hivyo kuwasikia waNorth Korea na waIrani kama wadukuzi wa US?Mnawapa credit za bure wairan na wakorea. Hushpuppy ni Mnaijeria na alitajirika kwa kazi hiyo, sema tu alianza kujionyesha mno mitandaoni
Kuna mambo si vema kuyajadili hapa kwa sababu za kibiashara na nyinginezo nyeti.Shambuli la JF hua ni DDoS Attack .. sio kama hilo la Tigo. Kabla ya kuniambia sijui JF ulitakiwa uniulize nikuchambulie kila aina ya attack.. na ningekueleza why nasema tigo ni wazembe na sio kwamba wamezidiwa.. Dunia hii uwezi fanya code kizembe zembe watu wasikuzingue