kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Weka video blaza...
Wamarekani watundu nao wameachiwa??🤣🤣
Wamarekani watundu nao wameachiwa??🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umejuaje zimefunguliwa?Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini.
Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia hizo sites kirahisi.
Naomba serikali ifikirie upya hili swala na nashauri hizo sites zifungiwe tena ili kusaidia taifa letu la sasa na vizazi vijavyo.
Umehakiki ulichoandika?Anza na aya ya pili.Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini.
Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia hizo sites kirahisi.
Naomba serikali ifikirie upya hili swala na nashauri hizo sites zifungiwe tena ili kusaidia taifa letu la sasa na vizazi vijavyo.
🤣 🤣 🤣Umefungua za nn?
Mbona habari zipo mtaani mkuu. Pitiapitia kwenye mitandao utapata taarifaumejuaje zimefunguliwa?
Nyege ni tatizo la nchi yote mkuu.Bora tu mfunguliwe, nyge ni tatizo kubwa mlitizame kwa upana jamani.....
😂 😂 😂Ni kweli bana ahahaha
Nimepata notification kutoka blazzers
Jukwaa la Wakubwa walilifuta aisee 😂 😂Huku JF nako wafanye namna
Waturudishie zaga letu mana nchi imeruhusuJukwaa la Wakubwa walilifuta aisee 😂 😂
Kwahiyo Raha Tupu imerudi si ndio?
Ngoja na mimi niende kuakikisha.Kweli zimefunguliwa nimeona
Tatizo VPN inakunywa sana bandoZile atawakifungia sisi tunazifungua tu na VPN