Tovuti za Maudhui ya Ngono kufunguliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu ni kete ya kisiasa kuelekea Uchaguzi 2025?

Nimesikitishwa sana baada ya site zote za pornography kufunguliwa kipindi hiki watoto wako likizo.

Nimuda mwafaka waziri anaehusika atoke hadharani aseme sababu au ablock site zote za x videos haraka iwezekanavyo

Video za ngono Zina addiction mbaya sana na reflection yake ni negative.katika jamii.

Unashangaa mke wako anadharau kumbe amekua addicted na bunduki nchi 7+ anazoziona Kwa porno.

Nchi kama china Japan south Korea na nyingine nyingi zmepiga block huu upuuzi since day one
 
Waafrika bado tunadeal na mambo ya kijinga sana.
Bado kuna watu wanamsikiliza Nape?
Walipandisha bei ya bando la internet ili watu wasiangalie porno
 
Acha kuingilia starehe za watu komredi,

Hata wafungie, Tor browser iko play store ni powerful browser naitumia mwaka wa 10 huu....Haina restrictions unachotype inakupea!...

Hiyo sijui google chrome yenu naisikiaga tu...hata sijawahi kuifikiria!

Tor browser ni mashine!...No need for VPN!
 
Mmh kwa Japan sidhani labda China,,,,,hao wajapan ile sherehe yao ya Kanamara Matsuri inavuruga kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…