Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
-
- #81
Evelyn Salt really!! Watoto wetu tuwafiche wapi? Hizi kitu ni satanic world movement, inabidi kuzipingaBora tu mfunguliwe, nyge ni tatizo kubwa mlitizame kwa upana jamani.....
You said it all mkuu.Nimesikitishwa sana baada ya site zote za pornography kufunguliwa kipindi hiki watoto wako likizo.
Nimuda mwafaka waziri anaehusika atoke hadharani aseme sababu au ablock site zote za x videos haraka iwezekanavyo
Video za ngono Zina addiction mbaya sana na reflection yake ni negative.katika jamii.
Unashangaa mke wako anadharau kumbe amekua addicted na bunduki nchi 7+ anazoziona Kwa porno.
Nchi kama china Japan south Korea na nyingine nyingi zmepiga block huu upuuzi since day one
Wachache.. Ni bora watu wapambane na VPN kuliko kuziacha openWatoto wanazijua VPN mbona?
Majighu sijakuona siku nyingi sana, kulikoni leo umeibukia kwenye site kufunguliwa 😹Evelyn Salt really!! Watoto wetu tuwafiche wapi? Hizi kitu ni satanic world movement, inabidi kuzipinga
Umemaliza mkuu.Wamiliki wa hizo sites Ndyo haohao wanaotoa mikopo na hela nyingine za bure kwa serikali yetu.
Tumia unlimited skuizi kwenye bando Mimi nishatokaga mkuuTatizo VPN inakunywa sana bando
Wametunga Sheria nchi ya Kusadikika kutumia VPN ni kosa kisheria.Zile atawakifungia sisi tunazifungua tu na VPN
Wazifunge tu zina faida gani zaidi ya kuharibu generationsWadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini.
Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia hizo sites kirahisi.
Naomba serikali ifikirie upya hili swala na nashauri hizo sites zifungiwe tena ili kusaidia taifa letu la sasa na vizazi vijavyo.
😁😂 Hawawezi kunidaka hata kidogoWametunga Sheria nchi ya Kusadikika kutumia VPN ni kosa kisheria.
Pornpics.comIpi hiyo?
Du...picha siyo videoPornpics.com
Mtuavhoee na migodi yetuu inayotutunziaa wake zetu mnaruhusu huku badoo mnakimbizana na sisimtaaniWadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini.
Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia hizo sites kirahisi.
Naomba serikali ifikirie upya hili swala na nashauri hizo sites zifungiwe tena ili kusaidia taifa letu la sasa na vizazi vijavyo.