Tovuti za Maudhui ya Ngono kufunguliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu ni kete ya kisiasa kuelekea Uchaguzi 2025?

Tovuti za Maudhui ya Ngono kufunguliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu ni kete ya kisiasa kuelekea Uchaguzi 2025?

UKOJAWAPIGAPUNYETOTANZANIA
[
UWAPIPUTA]
TUNALAANI UFUNGUAJI WA WEBSITE HIZI ZINA MADHARA SANAAA NA ZIMETUTESA SA ANA HASA FAMILIA ZETU
NAOMBA MSIZIZOOEE SANA
 
Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini.

Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia hizo sites kirahisi.

Naomba serikali ifikirie upya hili swala na nashauri hizo sites zifungiwe tena ili kusaidia taifa letu la sasa na vizazi vijavyo.
Tupe link ya hizo tovuti za ngono zilizoruhusiwa ili tuzifunge shingoni mwa bi kidawa kuruhusi mahudhui hasi kinyume na mila, tamaduni, na desturi zetu kama watanzania!
 
Back
Top Bottom