Toxic Fuvu ni moja kati ya vijana hatari kwenye soko la bongo HipHop Music

Dogo anajua,ila jina haliakisi weledi,angejiita tu toxic au fuvu,solo artist kujipa jina sentensi nzima ni tatizo
 
Mwamba Toxic ni mkali sana kwangu Mimi kwa hapa Bongo kwa wasanii wa Hip Hop wa kizazi yake he is the king. Sema shida yake moja tu anakuwaga kimya sana bila kutoa mikwaju.


Bonge la goma.

" Sometimes tunaomba dua ambazo hatujafundishwa kwenye vitabu vya dini" This line is too powerful na imewagusa wengi. ( Dua wanazo ombaga waswahili vilingeni hawajafundishwaga kwenye vitabu vya dini)


" Shida tulizo nazo hata mchawi akiziona anasema hawa siwarogi"🤣🤣🤣🤣
 
Jamaa ana uandishi mzuri ni Moja ya hazina kwenye Hip-hop maana huku tunazingatia sana uandishi

Bigup Toxic
 
Hizi mambo zipo sana

unakuta mtu anaomba biashara yake iuzike ya mwenzie isiuze huo sio uchawi Sasa😃
 
Ukoo Wetu, hili ni bonge la ngoma sababu inanigusa mimi kabisa. Kuna koo zingine hadi unajuta kwa nini nilizaliwa kwenye ukoo huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…