PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Majesta ni cc4300 mkuu hizi gari ni nomaMkuu, unataka kwenda kwenye Majesta, au Supra?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majesta ni cc4300 mkuu hizi gari ni nomaMkuu, unataka kwenda kwenye Majesta, au Supra?
Filimbi utaikuta kwenye subaru foresta hii gari naikubali sana kuliko crown athleteNimesikia inavyopiga filimbi tu. Safi saana
Ebwannaeh bmw X6 twin turbo mpower model of 2017 yenyewe sio mchezo mpk ameikalisha.golf gti naikubali ila kwa aristo ikifanyiwa mods kidogo tu gti haigusi
kuna jamaa anaitwa samiji yule mmiliki wa hassam logistic ana aristo amefanya mods za 10000$ mwezi wa tatu aliikalisha bmw X6 twin turbo mpower model of 2017
0-100 inachukua sekunde ngapi mkuu.2005 ila imekula mods balaa...
cheki video ya aristo nyingine hii ya ni ya jason frisby naye ni ana tuning garaje yake ... click link hyo sema hii ajabadilisha speed meter [emoji23][emoji23] so ikishafika 180 haisomi tena wakati ilipigwa speed gun ikasoma 270 kwenye masinga TT drag ya mwaka 2016.... 0-180 real quick
Supra unaijua lkn?Majesta ni cc4300 mkuu hizi gari ni noma
Ebwannaeh bmw X6 twin turbo mpower model of 2017 yenyewe sio mchezo mpk ameikalisha.
Naona aristo automatic ni nyingi, kuipata manual ni very rare nadhani nadhani hizo modification alizofanya huyo jamaa na chuma kikiwa manual 6 gears kinapendeza zaidi.
5-6 sec0-100 inachukua sekunde ngapi mkuu.
hizi gari zilizokula mods kali achana nazo kaka..... destination arusha drag ya mwaka 2016 wakenya walileta gtr r35 stock akaingia fainali na mtanzania jason frisby ana evo 6 rs imeshiba mods balaaEbwannaeh bmw X6 twin turbo mpower model of 2017 yenyewe sio mchezo mpk ameikalisha.
Naona aristo automatic ni nyingi, kuipata manual ni very rare nadhani nadhani hizo modification alizofanya huyo jamaa na chuma kikiwa manual 6 gears kinapendeza zaidi.
watu wanachanganyikiwa na wingi wa CC wakati hata 200 series ya 2018 ina cc 4700 lakin haiikuti supra yenye 2JZ-GTE I6 3.0Supra unaijua lkn?
Ile Forester XT ya kuanzia 2008 naikubali balaa. Nitaifanyia review niifahamu vizuri.Filimbi utaikuta kwenye subaru foresta hii gari naikubali sana kuliko crown athlete
Gari manual ni kama zinapotea aise. Hasa tunaotegemea soko la magari used. Huwa zinakuwa bei saana.Ebwannaeh bmw X6 twin turbo mpower model of 2017 yenyewe sio mchezo mpk ameikalisha.
Naona aristo automatic ni nyingi, kuipata manual ni very rare nadhani nadhani hizo modification alizofanya huyo jamaa na chuma kikiwa manual 6 gears kinapendeza zaidi.
Engine kubwa aise. Ila ziko poa sana. Juzi nimekutana na jamaa amenunua Celsior in cc4300. Iko vizuri saana. Anasema consumption sio mbaya ni around 8-10km kwa lita akiwa highwayMajesta ni cc4300 mkuu hizi gari ni noma
Hapo kwny"aristo manual gear box is another aristo" unamaanisha ni very pricey sio?aristo manual gear box is another aristo.... ndio jibu alilonipa jamaa nilipomuuliza kwanini hafanyi mods ya kutoa auto trans aweke manual trans
maana pale gtp wanafanya hivyo... jamaa wengi wa subaru legacy wameshusha auto trans wameweka manual trans
kuhusu mods... hyo ndio gari ambayo hata yule tuner wa gtp anakwambia imekula pesa ndefu kuliko gari zote alizoletewa kumod
maana hadi now ipo stage 3 of mods ...na imekula mods za 10000$ yani mods zimepita hadi bei aloyonunulia gari
Si mchezo hio,ikipita ikiwa full speed nadhani traffic wakichek zile tochi zao wanaweza wasiamini wanachoona kwny tochi zao.5-6 sec
yah nasikia ni very expensiveHapo kwny"aristo manual gear box is another aristo" unamaanisha ni very pricey sio?
$10,000 si mchezo aisee,huyo jamaa ana passion na racing cars aisee
Cc nyingi zinatuogopesha saana. Ila kuna gari zina cc nyingi ila consumption yake ni kawaida kabisa. Hasa engine za kisasa.watu wanachanganyikiwa na wingi wa CC wakati hata 200 series ya 2018 ina cc 4700 lakin haiikuti supra yenye 2JZ-GTE I6 3.0
Frisby nilishakutana nae kipindi flan nilikua interested na racing kule Kisongo-Arusha nilikua natumia celica gt 1Jz-Gte though haikua na mods nyingi.hizi gari zilizokula mods kali achana nazo kaka..... destination arusha drag ya mwaka 2016 wakenya walileta gtr r35 stock akaingia fainali na mtanzania jason frisby ana evo 6 rs imeshiba mods balaa
gues waaaaat? tz tulishinda ... now wakenya wanamtegemea jamaa anaitwa george bet ana subie N14 imekula mods za kufa mtu ila sisi TZ bado tunamtegemea jason na evo 6 rs yake
racing zinafanyika tareh 20... event inaitwa masinga TT drags inafanyika kenya tanzania tunapeleka gari 10
ngoja kuna video ya hizo aristo mbili ya jason na samiji zikirace naicheki hapa nikiipata nakuwekea uwone zikipita kama upepo tuSi mchezo hio,ikipita ikiwa full speed nadhani traffic wakichek zile tochi zao wanaweza wasiamini wanachoona kwny tochi zao.
Cc nyingi zinatuogopesha saana. Ila kuna gari zina cc nyingi ila consumption yake ni kawaida kabisa. Hasa engine za kisasa.
Aisee bei ya used car manual sio ya mchezo mchezo ndio maana watu wananunua auto wanakuja kuzi swap huku huku bongo tu.Gari manual ni kama zinapotea aise. Hasa tunaotegemea soko la magari used. Huwa zinakuwa bei saana.