Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

Unaweza roughly ukamkadiria kuchezea kwny ngapi hivi,just ana estimate mkuu.
kama atabaki na engine ya 1G... hapo anatakiwa afanye ECU remap then achange exhaust systeam aweke larger one then acheze na body.... rougly 1.5-2 ml simple mods ila ataona changes

akitaka atishe zaidi afanye swap ya 1jz-gte ambayo itamcost maana itabidi aitafute hyo mashine

ila kwa simple mods ya 1g ..kwa frisby atafanyiwa ecu remap... perfomnce exhaust na body work 2ml
 
Aisee shukran sana mkuu,1 more question mkuu.

Najua stock 1g-fe hp ni 140 wakiifanyia tuning using hio hio 1g engine inaweza hp ikasogea mpk hata ngapi kwa kukadiria tu mkuu.
 
Aisee shukran sana mkuu,1 more question mkuu.

Najua stock 1g-fe hp ni 140 wakiifanyia tuning using hio hio 1g engine inaweza hp ikasogea mpk hata ngapi kwa kukadiria tu mkuu.

kwa mods nilizomention huwa unagain just few bhp... huwa hazizidi 15 ... sema tu ukifanya maping engine inakuwa inarun smooth zaidi na nyepesi pia maana zile limit setting za manufacture mnakuwa mmeziondoa
 
Aisee bei ya used car manual sio ya mchezo mchezo ndio maana watu wananunua auto wanakuja kuzi swap huku huku bongo tu.
Saana. Cha kushangaza, kwa wanaonunua gari mpya, wanasema manual ni bei ndogo kuliko automatic. Sasa sijui inakuwaje kwenye used mambo yanabadilika.
 
Aisee celsior ya 2003 ile trimlevel ilikua ndio gari ya ndoto yangu miaka ya zamani kidogo(hii ndio lexus ls 430),niliikutaga sehemu interior yake ilikua ya kisasa balaa ilikua ahead of its time aisee+riding yake ni very very smooth.
Hizo gari ni nzuri aise. Na bei zake sasa hivi sio kivile, na kodi iko chini. LS460 inavutia, ila bado bei iko juu saana.
 
Toyota sijui imekuaje sijui siku hizi zamani kulikua na magari mazuri ukilifanyia mods linakaa mkao sana,kuna gari kama "toyota mr2 sw20 turbo" unalisoma mkuu?
Nalijua hilo gari. Hivyo vigari safi saana kama unaendesha for fun. Sasa hivi wametengeneza kingine kinaitwa GT86, kuanzia mwaka 2012. Sasa hivi bado kina gharama saana.
 
Aisee ni kweli kuna kipindi niliwahi kuulizia khs consuption ya Nissan Cima 4.5l V8 model ya 2005 lkn majibu niliyopewa yalinikatisha tamaa balaa.

Lkn nilichokuja kujua tunawauliza wrong person,inabd kuuliza kwa mtu sahihi atleast mwenye li gari v8 anaweza kutoa jibu sahihi.
Nafikiri ilikuwa kweli kwenye gari za kizamani na hasa za Marekani. Unakuta ina cc4000, V8, ila horsepower hazifiki 200. Ila za kisasa wamejitahidi saana. Ukihitaji performance, basi na mafuta inakunywa saana, ila ukiendesha kawaida, mafuta inatumia vizuri tuu.
 
Hizi gari nzuri ila unyonyaji wake wa mafuta usijifikilie ya kudunduliza..kam celsior zinagonga zaid 4000cc Ila ni tamu saana ndani hadi kuendesha
Ni kweli. Najua hata gharama za matunzo zitakuwa juu. Mfano ulinunua ile yenye air suspension, ikizingua gharama yake sio ya kitoto. Ile inafaa mtu mwenye gari zaidi ya moja, analitumia kwenye matukio muhimu tu, sio matumizi ya kila siku.
 
Poa mkuu,shukrani sana.
mzigo huu hapa ninazo video sema zinakataa kuapload nimeamua kukupa links za insta

ile chaser JZX100 1JZ-GTE ya frisby

kenyan subaru N14 kwenye arusha 2 drag racing

frisby EVO 6 rs vs kenyan GTR r 35

frisby aristo 2JZ-GTE 400+ bhp

samiji's ARISTO vs Frisby's ARISTO destination arusha drag racing

fastest subaru in kenya and east africa.... impreza N14 Driven by KENYAN george bett

Hii dude limakaa vizuri saana aise. Unaweza kulikataa kabisa yaani.
Screenshot_20181017-145213.jpg
 
Hao jamaa hawaogopi kukaa karibu hivyo na barabara? Maana watu wengi saana huwa wanashindwa kuendesha gari kwa kasi kubwa kwenye straight line.
 
kwa mods nilizomention huwa unagain just few bhp... huwa hazizidi 15 ... sema tu ukifanya maping engine inakuwa inarun smooth zaidi na nyepesi pia maana zile limit setting za manufacture mnakuwa mmeziondoa
Sawa mkuu nimekusoma fresh sana,appreciate sana.

Ntamshauri mchizi aipeleke pale kwa jamaa.
 
Back
Top Bottom