Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

Frisby nilishakutana nae kipindi flan nilikua interested na racing kule Kisongo-Arusha nilikua natumia celica gt 1Jz-Gte though haikua na mods nyingi.

Gtr r35 stock vs evo 6 mods aisee hii ningependa kuiona.

After event ya masinga,next event itakua Tz au?ili niitengee muda kabisa wa kushuhudia.

yah after hyo ya masinga nahisi kutakuwa na ya kufungia mwaka TZ ..destination arusha au oldonyo sambu
 
Frisby nilishakutana nae kipindi flan nilikua interested na racing kule Kisongo-Arusha nilikua natumia celica gt 1Jz-Gte though haikua na mods nyingi.

Gtr r35 stock vs evo 6 mods aisee hii ningependa kuiona.

After event ya masinga,next event itakua Tz au?ili niitengee muda kabisa wa kushuhudia.

frisby yule jamaa hatari sana ... kuna project ya chaser tourer V kaimaliza juzi hapa...

ni 1JZ-gte with lots of mods ukiiona kama ni mjuzi wa magari lazima ustuke mashine hatariiii
 
Engine kubwa aise. Ila ziko poa sana. Juzi nimekutana na jamaa amenunua Celsior in cc4300. Iko vizuri saana. Anasema consumption sio mbaya ni around 8-10km kwa lita akiwa highway
Aisee celsior ya 2003 ile trimlevel ilikua ndio gari ya ndoto yangu miaka ya zamani kidogo(hii ndio lexus ls 430),niliikutaga sehemu interior yake ilikua ya kisasa balaa ilikua ahead of its time aisee+riding yake ni very very smooth.
 
Gari manual ni kama zinapotea aise. Hasa tunaotegemea soko la magari used. Huwa zinakuwa bei saana.
Toyota sijui imekuaje sijui siku hizi zamani kulikua na magari mazuri ukilifanyia mods linakaa mkao sana,kuna gari kama "toyota mr2 sw20 turbo" unalisoma mkuu?
 
Gari manual ni kama zinapotea aise. Hasa tunaotegemea soko la magari used. Huwa zinakuwa bei saana.
Toyota sijui imekuaje sijui siku hizi zamani kulikua na magari mazuri ukilifanyia mods linakaa mkao sana,kuna gari kama "toyota mr2 sw20 turbo" unalisoma mkuu?
 
frisby yule jamaa hatari sana ... kuna project ya chaser tourer V kaimaliza juzi hapa...

ni 1JZ-gte with lots of mods ukiiona kama ni mjuzi wa magari lazima ustuke mashine hatariiii
Hahah nadhani nimeshamuona nalo hilo tourer V hapa Chuga aisee ni hatarii.

Hapo Be forward wanauza tourer V iko modified CIF yake ni $15,000(Tsh 36mil) aisee si mchezo ukiweka na kodi yake hapo ni mziki mnene.

Kuna mshkaji alikua ana gx 100 1G-vvti anasema atampelekea frisby akalifanyie mambo hata kama atachekwa hana noma hahah.
 
Alteza yangu ni hii..[emoji85] [emoji85] [emoji85]
tapatalk_1521144929388.jpeg
 
Hahah nadhani nimeshamuona nalo hilo tourer V hapa Chuga aisee ni hatarii.

Hapo Be forward wanauza tourer V iko modified CIF yake ni $15,000(Tsh 36mil) aisee si mchezo ukiweka na kodi yake hapo ni mziki mnene.

Kuna mshkaji alikua ana gx 100 1G-vvti anasema atampelekea frisby akalifanyie mambo hata kama atachekwa hana noma hahah.
apeleke likafanyiwe mambo asee.... uzuri wa frisby huwa haishii kwenye perfomance huwa anafanya hadi na body work so anabadilisha muonekano mzima wa gari.... hyo gx100 itatisha
 
toyota mr2 sw20 turbo unaisoma mkuu?ushawahi kukutana nayo kwny harakati huko?
naisoma mkuu.... ila sijawahi kukutana nayo huku.... sema tuner wa huku dar yule jet cruza wa gtp amebobea sana subaru na evo japo hata toyota anapiga mods ila workshop yake imejaa sana subie na evo
 
yah nasikia ni very expensive

jamaa anapenda sana magari
ana collection moja matata sana... hata huyo jason naye ana collection ya fast cars
Personally sijawahi icheki collection yake lkn hapa town naona anasifiwa ma car enthusiast balaa khs hio collection.
 
Cc nyingi zinatuogopesha saana. Ila kuna gari zina cc nyingi ila consumption yake ni kawaida kabisa. Hasa engine za kisasa.
Aisee ni kweli kuna kipindi niliwahi kuulizia khs consuption ya Nissan Cima 4.5l V8 model ya 2005 lkn majibu niliyopewa yalinikatisha tamaa balaa.

Lkn nilichokuja kujua tunawauliza wrong person,inabd kuuliza kwa mtu sahihi atleast mwenye li gari v8 anaweza kutoa jibu sahihi.
 
apeleke likafanyiwe mambo asee.... uzuri wa frisby huwa haishii kwenye perfomance huwa anafanya hadi na body work so anabadilisha muonekano mzima wa gari.... hyo gx100 itatisha
Unaweza roughly ukamkadiria kuchezea kwny ngapi hivi,just ana estimate mkuu.
 
naisoma mkuu.... ila sijawahi kukutana nayo huku.... sema tuner wa huku dar yule jet cruza wa gtp amebobea sana subaru na evo japo hata toyota anapiga mods ila workshop yake imejaa sana subie na evo
Hamna noma mkuu, nilitaka kujua tu mziki wake barabarani ukoje ili huko mbele siku tukiokota hela u never know itatafutwa labda
 
Back
Top Bottom