Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

golf gti naikubali ila kwa aristo ikifanyiwa mods kidogo tu gti haigusi

kuna jamaa anaitwa samiji yule mmiliki wa hassam logistic ana aristo amefanya mods za 10000$ mwezi wa tatu aliikalisha bmw X6 twin turbo mpower model of 2017
Ebwannaeh bmw X6 twin turbo mpower model of 2017 yenyewe sio mchezo mpk ameikalisha.

Naona aristo automatic ni nyingi, kuipata manual ni very rare nadhani nadhani hizo modification alizofanya huyo jamaa na chuma kikiwa manual 6 gears kinapendeza zaidi.
 
0-100 inachukua sekunde ngapi mkuu.
 

aristo manual gear box is another aristo.... ndio jibu alilonipa jamaa nilipomuuliza kwanini hafanyi mods ya kutoa auto trans aweke manual trans

maana pale gtp wanafanya hivyo... jamaa wengi wa subaru legacy wameshusha auto trans wameweka manual trans

kuhusu mods... hyo ndio gari ambayo hata yule tuner wa gtp anakwambia imekula pesa ndefu kuliko gari zote alizoletewa kumod

maana hadi now ipo stage 3 of mods ...na imekula mods za 10000$ yani mods zimepita hadi bei aloyonunulia gari
 
hizi gari zilizokula mods kali achana nazo kaka..... destination arusha drag ya mwaka 2016 wakenya walileta gtr r35 stock akaingia fainali na mtanzania jason frisby ana evo 6 rs imeshiba mods balaa

gues waaaaat? tz tulishinda ... now wakenya wanamtegemea jamaa anaitwa george bet ana subie N14 imekula mods za kufa mtu ila sisi TZ bado tunamtegemea jason na evo 6 rs yake

racing zinafanyika tareh 20... event inaitwa masinga TT drags inafanyika kenya tanzania tunapeleka gari 10
 
Gari manual ni kama zinapotea aise. Hasa tunaotegemea soko la magari used. Huwa zinakuwa bei saana.
 
Hapo kwny"aristo manual gear box is another aristo" unamaanisha ni very pricey sio?

$10,000 si mchezo aisee,huyo jamaa ana passion na racing cars aisee
 
Hapo kwny"aristo manual gear box is another aristo" unamaanisha ni very pricey sio?

$10,000 si mchezo aisee,huyo jamaa ana passion na racing cars aisee
yah nasikia ni very expensive

jamaa anapenda sana magari
ana collection moja matata sana... hata huyo jason naye ana collection ya fast cars
 
Frisby nilishakutana nae kipindi flan nilikua interested na racing kule Kisongo-Arusha nilikua natumia celica gt 1Jz-Gte though haikua na mods nyingi.

Gtr r35 stock vs evo 6 mods aisee hii ningependa kuiona.

After event ya masinga,next event itakua Tz au?ili niitengee muda kabisa wa kushuhudia.
 
Cc nyingi zinatuogopesha saana. Ila kuna gari zina cc nyingi ila consumption yake ni kawaida kabisa. Hasa engine za kisasa.

hilo la fuel efficient naweza kuwa shahidi mzuri.... nimetumia mark x ya 4GR-FSE V6 2500cc na pia ya 3GR-FSE V6 3000cc

zinatumia mafuta vizuri sana ukilinganisha na displacement yake kama ukiwa siyo mtu wa flat foot ila ukiwa mtu wa flat foot utaziona kama jini kwenye ulaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…