Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Frisby nilishakutana nae kipindi flan nilikua interested na racing kule Kisongo-Arusha nilikua natumia celica gt 1Jz-Gte though haikua na mods nyingi.
Gtr r35 stock vs evo 6 mods aisee hii ningependa kuiona.
After event ya masinga,next event itakua Tz au?ili niitengee muda kabisa wa kushuhudia.
Frisby nilishakutana nae kipindi flan nilikua interested na racing kule Kisongo-Arusha nilikua natumia celica gt 1Jz-Gte though haikua na mods nyingi.
Gtr r35 stock vs evo 6 mods aisee hii ningependa kuiona.
After event ya masinga,next event itakua Tz au?ili niitengee muda kabisa wa kushuhudia.
Aisee celsior ya 2003 ile trimlevel ilikua ndio gari ya ndoto yangu miaka ya zamani kidogo(hii ndio lexus ls 430),niliikutaga sehemu interior yake ilikua ya kisasa balaa ilikua ahead of its time aisee+riding yake ni very very smooth.Engine kubwa aise. Ila ziko poa sana. Juzi nimekutana na jamaa amenunua Celsior in cc4300. Iko vizuri saana. Anasema consumption sio mbaya ni around 8-10km kwa lita akiwa highway
Toyota sijui imekuaje sijui siku hizi zamani kulikua na magari mazuri ukilifanyia mods linakaa mkao sana,kuna gari kama "toyota mr2 sw20 turbo" unalisoma mkuu?Gari manual ni kama zinapotea aise. Hasa tunaotegemea soko la magari used. Huwa zinakuwa bei saana.
Toyota sijui imekuaje sijui siku hizi zamani kulikua na magari mazuri ukilifanyia mods linakaa mkao sana,kuna gari kama "toyota mr2 sw20 turbo" unalisoma mkuu?Gari manual ni kama zinapotea aise. Hasa tunaotegemea soko la magari used. Huwa zinakuwa bei saana.
Hahah nadhani nimeshamuona nalo hilo tourer V hapa Chuga aisee ni hatarii.frisby yule jamaa hatari sana ... kuna project ya chaser tourer V kaimaliza juzi hapa...
ni 1JZ-gte with lots of mods ukiiona kama ni mjuzi wa magari lazima ustuke mashine hatariiii
Una bmw ipi mkuu M3 au M5 mkuu,hahah.Na sisi wenye BMW tunachanganya comments zetu na zenu au tunacomment wapi
Hii si yakukosa aisee.yah after hyo ya masinga nahisi kutakuwa na ya kufungia mwaka TZ ..destination arusha au oldonyo sambu
apeleke likafanyiwe mambo asee.... uzuri wa frisby huwa haishii kwenye perfomance huwa anafanya hadi na body work so anabadilisha muonekano mzima wa gari.... hyo gx100 itatishaHahah nadhani nimeshamuona nalo hilo tourer V hapa Chuga aisee ni hatarii.
Hapo Be forward wanauza tourer V iko modified CIF yake ni $15,000(Tsh 36mil) aisee si mchezo ukiweka na kodi yake hapo ni mziki mnene.
Kuna mshkaji alikua ana gx 100 1G-vvti anasema atampelekea frisby akalifanyie mambo hata kama atachekwa hana noma hahah.
siyo ya kukosa kabisaHii si yakukosa aisee.
toyota mr2 sw20 turbo unaisoma mkuu?ushawahi kukutana nayo kwny harakati huko?watu wanachanganyikiwa na wingi wa CC wakati hata 200 series ya 2018 ina cc 4700 lakin haiikuti supra yenye 2JZ-GTE I6 3.0
naisoma mkuu.... ila sijawahi kukutana nayo huku.... sema tuner wa huku dar yule jet cruza wa gtp amebobea sana subaru na evo japo hata toyota anapiga mods ila workshop yake imejaa sana subie na evotoyota mr2 sw20 turbo unaisoma mkuu?ushawahi kukutana nayo kwny harakati huko?
Personally sijawahi icheki collection yake lkn hapa town naona anasifiwa ma car enthusiast balaa khs hio collection.yah nasikia ni very expensive
jamaa anapenda sana magari
ana collection moja matata sana... hata huyo jason naye ana collection ya fast cars
Aisee ni kweli kuna kipindi niliwahi kuulizia khs consuption ya Nissan Cima 4.5l V8 model ya 2005 lkn majibu niliyopewa yalinikatisha tamaa balaa.Cc nyingi zinatuogopesha saana. Ila kuna gari zina cc nyingi ila consumption yake ni kawaida kabisa. Hasa engine za kisasa.
Aisee naomba uniwekee mkuu,naweza kukesha nacheki hizi mambongoja kuna video ya hizo aristo mbili ya jason na samiji zikirace naicheki hapa nikiipata nakuwekea uwone zikipita kama upepo tu
Unaweza roughly ukamkadiria kuchezea kwny ngapi hivi,just ana estimate mkuu.apeleke likafanyiwe mambo asee.... uzuri wa frisby huwa haishii kwenye perfomance huwa anafanya hadi na body work so anabadilisha muonekano mzima wa gari.... hyo gx100 itatisha
Hamna noma mkuu, nilitaka kujua tu mziki wake barabarani ukoje ili huko mbele siku tukiokota hela u never know itatafutwa labdanaisoma mkuu.... ila sijawahi kukutana nayo huku.... sema tuner wa huku dar yule jet cruza wa gtp amebobea sana subaru na evo japo hata toyota anapiga mods ila workshop yake imejaa sana subie na evo
alikuwaga na supra pia sema naona kamuuzia mchizi flan wa hukohuko chugaPersonally sijawahi icheki collection yake lkn hapa town naona anasifiwa ma car enthusiast balaa khs hio collection.