100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Crown zitapotea kwa Model Year zilizotengenezwa, Ile sio Chaser Mayai...Hivi kuna mdau wa nissan fuga humu ndani maana naona mnaongelea gari itakayokuja kupotea hivi karibuni
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Bodi ya aristo hainaga mvuto kabisa kwangu,unachonunua kwny hio Gari Ni hio engine 2JZ-GTE tu.Crown hamna gari hapo, mara 10 Aristo 2jzGte kwanza hazimilikiwi na viande, ila hizo crown zimekuw kama Tvs kila kona zipo na price imeshuka kwa sasa
Moto wa gas huo, Engine gani hii?Umeona unyama huu.. Ila sio bei ya kizalendo 😅😅😅😅 limiter haipo mwanawane unachapa badi 280 kifuani 3.5L
View attachment 2441738
Extrovert
Yuko sahihi kabisa, wazungu wengi Sana wame-dump S-class/7-series zao kwa ajili ya Gari hio.Hatari sana, kuna mzungu alikuwa anafanya review ya Ls akakiri mwenyewe akasema nimeendesha gari nyingi za Germany kuanzia Benz,Bmw n.k lakini comfortability ya hii chuma ni next level...
Nyuma ingepigwa taillights za mduara wangetisha sana..Hizo manual transmission nimechungulia Beforward bei zake sio za kitanzania kabisa 😅😅😅 na zipo mbili za kuwahi haraka sana.. Kisahani 280
View attachment 2441739
Extrovert
Ile gari ni nzito, inakutuliza Barabarani vzr sana kuliko hayo mabati, mfn ukifanya project vby kwa ku-overpowering gari bila kuangalia weight capabilities lazima hiyo gari ije ikuue. Kwa Aristo ina weight distribution nzur ya kuhandle power kubwa hata kwa heavy launch chuma inatulia hata ikipiga Top end unaona kbs chuma imekolea.Bodi ya aristo hainaga mvuto kabisa kwangu,unachonunua kwny hio Gari Ni hio engine 2JZ-GTE tu.
Bora ninunue chaser/cresta yenye 1jz/2jz-gte kuliko aristo yenye engine hio hio.
Nimeendesha Chaser gte na Aristo gte,I prefer chaser.Ile gari ni nzito, inakutuliza Barabarani vzr sana kuliko hayo mabati, mfn ukifanya project vby kwa ku-overpowering gari bila kuangalia weight capabilities lazima hiyo gari ije ikuue. Kwa Aristo ina weight distribution nzur ya kuhandle power kubwa hata kwa heavy launch chuma inatulia hata ikipiga Top end unaona kbs chuma imekolea.
Kwa technical aspects zipi..?Nimeendesha Chaser gte na Aristo gte,I prefer chaser.
Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...Ile gari ni nzito, inakutuliza Barabarani vzr sana kuliko hayo mabati, mfn ukifanya project vby kwa ku-overpowering gari bila kuangalia weight capabilities lazima hiyo gari ije ikuue. Kwa Aristo ina weight distribution nzur ya kuhandle power kubwa hata kwa heavy launch chuma inatulia hata ikipiga Top end unaona kbs chuma imekolea.
Mark II ina handle vizuri kuliko hizo ulizotaja hapo juu?Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...
Cheki video..
I know ni tuned, kwani we video unaonaje inavyotembea, unaona inapepesuka?Mark II ina handle vizuri kuliko hizo ulizotaja hapo juu?
Isitoshe hiyo Mark II wameshaitune to the brim, wenzake wanatoka kwandani na 600hp stock.
Mie narudia kusema MarkII hamna gari hapo compared to ARISTO yaan aristo uiweke ligi moja SUPRA Mk4 au GTR Skyline zile za 90's ........! sio hizi takataka sijui MarkII, Crown etc (Gari ya kina dada wa soloon)Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...
Cheki video..
Chukua MarkII stock na mie niweke Aristo Stock tuumwage mwingi alaf uoneI know ni tuned, kwani we video unaonaje inavyotembea, unaona inapepesuka?
Hayo madude siyakubali. Sijui kwanini. Nadhani nimeathirika kisaikolojia najikuta nazichukia sana Saloon cars, hasa baada ya kukaa sana vijijini na kila mtu kuziita "Taxi".
Yani unaweza ukawa na chuma lako Mark X limesimama hatari. Ukipita nalo Mpitimbi au kule Kigonsera kila mwanakijiji anakupa jina, " Yule blaza mwenye taxi kapita sasa hivi" [emoji23][emoji23]
All in all, crown zimekuja kama upepo tu wa kisuri suri kama zilivyokujaga Verossa, Baloon na Mark X.. Fashion yake itapita na zitaanza kuonekana kama mtumba tu!
Oya hili dude la kiume
Hahahah hatari mnoIpo mkuu, kuna mwamba hapo zambia anayo na ni mpenda sifa so huwa anawanyoosha sana yaaani..
Hii Mark 2 iliwachapa sana mzee 😂😂😂 hadi aibu! Walinyooka sana sema itakuwa hata suspension wamefunga za sports.Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...
Cheki video..
Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...
Cheki video..
mzee kuna muda amefika hadi 300km/h ila hamuoni mnyama wa 2jZ-gte alipopita, ile gtx turbo inazalisha 800HP kudadadeki 😀 😀 😀 😀 😀 hio Mark 2 inatembelea above 600HP wazee sio poaJamaaa yuko 220km/hr lkn mwamba anapita kama wamesimama[emoji91][emoji91][emoji119]