Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Crown hamna gari hapo, mara 10 Aristo 2jzGte kwanza hazimilikiwi na viande, ila hizo crown zimekuw kama Tvs kila kona zipo na price imeshuka kwa sasa
Bodi ya aristo hainaga mvuto kabisa kwangu,unachonunua kwny hio Gari Ni hio engine 2JZ-GTE tu.

Bora ninunue chaser/cresta yenye 1jz/2jz-gte kuliko aristo yenye engine hio hio.
 
Ile gari ni nzito, inakutuliza Barabarani vzr sana kuliko hayo mabati, mfn ukifanya project vby kwa ku-overpowering gari bila kuangalia weight capabilities lazima hiyo gari ije ikuue. Kwa Aristo ina weight distribution nzur ya kuhandle power kubwa hata kwa heavy launch chuma inatulia hata ikipiga Top end unaona kbs chuma imekolea.
 
Nimeendesha Chaser gte na Aristo gte,I prefer chaser.
 
Ile gari ni nzito, inakutuliza Barabarani vzr sana kuliko hayo mabati, mfn ukifanya project vby kwa ku-overpowering gari bila kuangalia weight capabilities lazima hiyo gari ije ikuue. Kwa Aristo ina weight distribution nzur ya kuhandle power kubwa hata kwa heavy launch chuma inatulia hata ikipiga Top end unaona kbs chuma imekolea.
Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...
Cheki video..
 
Mark II ina handle vizuri kuliko hizo ulizotaja hapo juu?

Isitoshe hiyo Mark II wameshaitune to the brim, wenzake wanatoka kwandani na 600hp stock.
 
Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...
Cheki video..

Mie narudia kusema MarkII hamna gari hapo compared to ARISTO yaan aristo uiweke ligi moja SUPRA Mk4 au GTR Skyline zile za 90's ........! sio hizi takataka sijui MarkII, Crown etc (Gari ya kina dada wa soloon)
 
Hayo madude siyakubali. Sijui kwanini. Nadhani nimeathirika kisaikolojia najikuta nazichukia sana Saloon cars, hasa baada ya kukaa sana vijijini na kila mtu kuziita "Taxi".

Yani unaweza ukawa na chuma lako Mark X limesimama hatari. Ukipita nalo Mpitimbi au kule Kigonsera kila mwanakijiji anakupa jina, " Yule blaza mwenye taxi kapita sasa hivi" [emoji23][emoji23]

All in all, crown zimekuja kama upepo tu wa kisuri suri kama zilivyokujaga Verossa, Baloon na Mark X.. Fashion yake itapita na zitaanza kuonekana kama mtumba tu!

Mpitimbi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kelsea
 
Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...
Cheki video..

Hii Mark 2 iliwachapa sana mzee 😂😂😂 hadi aibu! Walinyooka sana sema itakuwa hata suspension wamefunga za sports.
 
Mkuu ulishawahi kuona moto wa Mark II 2Jz Gte wahuni wameivuruga? Porsche 911 turbo S , Audi RS 7, bmw M5 hizo gari hakuna rangi waliacha kuziona, Mark II ina handle vizuri mno, Unless unavutiwa tu na Aristo...
Cheki video..

Jamaaa yuko 220km/hr lkn mwamba anapita kama wamesimama[emoji91][emoji91][emoji119]
 
mzee kuna muda amefika hadi 300km/h ila hamuoni mnyama wa 2jZ-gte alipopita, ile gtx turbo inazalisha 800HP kudadadeki 😀 😀 😀 😀 😀 hio Mark 2 inatembelea above 600HP wazee sio poa
 
Back
Top Bottom