Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Hio ni mark X tu, akigusa Lexus atashangaa huenda ni feature ilikuwapo toka early 90's kipindi hata Benz hajawaza hio kitu.
Nimemshangaa huyu ndugu, rx 300 za 1998 Zina hii feature, yeye kakuta juzi kwenye gari ya ujerumani anaona ni kitu kipya hadi anakuambia inyoosha kabisa na shati... ushamba mzgo
 
Fuatilia kwa makini, utakuja kugundua Lexus LS ndio aliset standard of Luxury toka kitambo.
Hio ni mark X tu, akigusa Lexus atashangaa huenda ni feature ilikuwapo toka early 90's kipindi hata Benz hajawaza hio kitu.
Hahaha aisee unajua mpaka leo Lexus bado anasoma notes za Mercedes.. Na bado hajafaulu..!
Mjerumani ni pioneer wa hizo mambo..!
 
Hujui Camry wewe, hiyo athlete crown inasubiri
 
Nimemshangaa huyu ndugu, rx 300 za 1998 Zina hii feature, yeye kakuta juzi kwenye gari ya ujerumani anaona ni kitu kipya hadi anakuambia inyoosha kabisa na shati... ushamba mzgo
Naona hapo pamekuumiza..
Unisamehe bure nimechelewa kuja mjini..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…