Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Uzi ni mzuri ila kuweka neno benz ushafeli..unafananishaje benz na crown how yaan? Ebu dadavua kidogo. Benz ni benz huwezi kufananisha na crown, crown ni cheap car saaaaana kiufupi ni ya vijana ambao bado hawana heraa. Ungesema tako la nyani angalau tungekuelewa. Ila utakua kijana wa daslaam wewe ukilala unaota crown tu #bloodbastad
 
Sawa mkuu..wew una nini
 
Ha ha ha kwahio ukitupita kwenye hio Harrier yako unaamini tunaendesha Crown kwasababu hatu-afford tako la nyami. Vijana mna safari ndefu sana.
 
Ha ha ha kwahio ukitupita kwenye hio Harrier yako unaamini tunaendesha Crown kwasababu hatu-afford tako la nyami. Vijana mna safari ndefu sana.
Samahani mkuu ila crown nadhani kuelekea 2023 tungeacha kuziongelea maana gari inauzwa mpaka mil6 bwana ila samahani sana kama nimekugusa gari ni gari ila tusianze kubrag kuhusu crown its not a car to brag.
 
Unajua lakini crown zinaedelea kutoka new model

Tuacha kuongelea zipi? Hizi GRS180 ?au zote

Basi tuache kuongelea Landcruiser maana sahiz tupo 300series kwasababu kuna landcruiser miaka ya nyuma mtaani kwako inauzwa mil 30?.very poor reasoning [emoji706]
 
Samahani mkuu heshima kwako we should respect ones hustle. Don't get nervously wamiliki wa crown ni watani wangu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…