Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’


Asante sana kwa maelezo mazuri ..🫡

Nazani hakuna tofauti sana pia kene maintanance
 
Heshima mtaani
 
[emoji1][emoji1]
Nakumbuka waarabu huko middle east walikuwa wanaiita Benz ya kimasikini miaka ya nyuma sana
Nilipoona hiyo nikakumbuka
 
Naomba watu mnaozungumzia ulaji wa mafuta muachane na Crown. Ukiendesha Crown hutafuti fuel consumption, huko ni mwendo na starehe. Kama unataka fuel consumption ni afadhali uende kwa akina IST,Premio and the like.
 
Hii ndio fair comparison maanake hata 2004 bmw 7 series unaweza kuta ina bei sawa na 2004 bmw 3series. Ila 2023 bmw 7 na 2023 bmw 3 hali ipoje?
Sijui kama niko sahihi lakini resale value ya SUV na Sedan, sedan zinawahi kushuka... Japo si zote ila kwa asilimia kubwa hasa gari za Toyota.
 
Sijui kama niko sahihi lakini resale value ya SUV na Sedan, sedan zinawahi kushuka... Japo si zote ila kwa asilimia kubwa hasa gari za Toyota.
Resale value mara nyingi inaegamia kwenye fuel consumption kwasababu wanunuzi wa used car ni watu wa budget(soma kuungaunga). Ndio maana used Crown ni cheaper kuliko IST au Harrier ya cc2400 bei kubwa kuliko ya cc3000 wakati ya cc3000 ni full options.
 
Upo sahihi hasa ukitazamia soko la hapa nyumbani, na reliability pia ni moja ya sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…