Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Chache saaa kuzikuta G package kwa 4gr

Well 4gr na 3gr mjini hazia utoafuti kwa wese bro from my experience

Yanii utofauti mi mdoooogo sanaa ku notice na kwa weight ya crown ilotakiwa ianzie na 3gr

Ila safari 3gr inatumia vizuri sanaaa kwa sababu engine ina nguvu huhitaji rpm za juuu yaaani 3gr unaweza tembea 140kph na 2500rpm
Unaweza tembea 150kph na 15km/L

4gr maximum safari ni 14kpg na hapo speed isivuje 120kph, ila 3gr unatemeba hadi 140 to 150 na ulaji wa 2km/L more than 3gr

Ukitembea 120 kwa 3gr inaenda hadi 16km/L even more

Ila its so smooth kuliko 4gr na 0 to 100 ni 7.6sec sio poaaaaa wakati 4gr ni 8.5sec

Asante sana kwa maelezo mazuri ..🫡

Nazani hakuna tofauti sana pia kene maintanance
 
Yani mnaniacha dillema

Niko dillema kati ya crown ya 2009 na Subaru Forester ya 2009.

Sometimes nataka nichukue crown, sometimes subaru.

Hebu naombeni final verdict kwa hizi criteria nichukue ipi

1. reliability
2. fuel efficiency
3. heshima mtaani
4. Maintainance cost
5. comfortability
6. usalama
7. ipi nitakaa nayo miaka mingi bila major issues (nataka gari nikae nayo miaka mingi sana)
Heshima mtaani
 
Uzi ni mzuri ila kuweka neno benz ushafeli..unafananishaje benz na crown how yaan? Ebu dadavua kidogo. Benz ni benz huwezi kufananisha na crown, crown ni cheap car saaaaana kiufupi ni ya vijana ambao bado hawana heraa. Ungesema tako la nyani angalau tungekuelewa. Ila utakua kijana wa daslaam wewe ukilala unaota crown tu #bloodbastad
[emoji1][emoji1]
Nakumbuka waarabu huko middle east walikuwa wanaiita Benz ya kimasikini miaka ya nyuma sana
Nilipoona hiyo nikakumbuka
 
Naomba watu mnaozungumzia ulaji wa mafuta muachane na Crown. Ukiendesha Crown hutafuti fuel consumption, huko ni mwendo na starehe. Kama unataka fuel consumption ni afadhali uende kwa akina IST,Premio and the like.
 
Hii ndio fair comparison maanake hata 2004 bmw 7 series unaweza kuta ina bei sawa na 2004 bmw 3series. Ila 2023 bmw 7 na 2023 bmw 3 hali ipoje?
Sijui kama niko sahihi lakini resale value ya SUV na Sedan, sedan zinawahi kushuka... Japo si zote ila kwa asilimia kubwa hasa gari za Toyota.
 
Sijui kama niko sahihi lakini resale value ya SUV na Sedan, sedan zinawahi kushuka... Japo si zote ila kwa asilimia kubwa hasa gari za Toyota.
Resale value mara nyingi inaegamia kwenye fuel consumption kwasababu wanunuzi wa used car ni watu wa budget(soma kuungaunga). Ndio maana used Crown ni cheaper kuliko IST au Harrier ya cc2400 bei kubwa kuliko ya cc3000 wakati ya cc3000 ni full options.
 
Resale value mara nyingi inaegamia kwenye fuel consumption kwasababu wanunuzi wa used car ni watu wa budget(soma kuungaunga). Ndio maana used Crown ni cheaper kuliko IST au Harrier ya cc2400 bei kubwa kuliko ya cc3000 wakati ya cc3000 ni full options.
Upo sahihi hasa ukitazamia soko la hapa nyumbani, na reliability pia ni moja ya sababu.
 
Back
Top Bottom