Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 676
- 2,024
- Thread starter
- #441
Chache saaa kuzikuta G package kwa 4gr
Well 4gr na 3gr mjini hazia utoafuti kwa wese bro from my experience
Yanii utofauti mi mdoooogo sanaa ku notice na kwa weight ya crown ilotakiwa ianzie na 3gr
Ila safari 3gr inatumia vizuri sanaaa kwa sababu engine ina nguvu huhitaji rpm za juuu yaaani 3gr unaweza tembea 140kph na 2500rpm
Unaweza tembea 150kph na 15km/L
4gr maximum safari ni 14kpg na hapo speed isivuje 120kph, ila 3gr unatemeba hadi 140 to 150 na ulaji wa 2km/L more than 3gr
Ukitembea 120 kwa 3gr inaenda hadi 16km/L even more
Ila its so smooth kuliko 4gr na 0 to 100 ni 7.6sec sio poaaaaa wakati 4gr ni 8.5sec
Asante sana kwa maelezo mazuri ..🫡
Nazani hakuna tofauti sana pia kene maintanance