Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Mkuu naomba picha ya Nissan Wingroad "SUV" uliyokuwa nayo
 
UNAIJUA Nissan FUGA?
 
Mimi naimini mark x kuliko crown kwangu mimi gari bora za japan kwa Sedan Cars ni MARK X hao wengine wanajikongoja tu!!
Mimi naimini mark x kuliko crown kwangu mimi gari bora za japan kwa Sedan Cars ni MARK X hao wengine wanajikongoja tu!!
Wanaziita sukari ya warembo, body yake lain sema imechongwa poa.
 
Chief..crown ilipewa tuzo ya kua best executive sedam...
Mark x haina inachoizidi crown ...labda ile gear knob ya mark x mdio inavutia
Sasa CROWN anamzidi nini MARK X embu niambie ambacho CROWN anacho alafu MARK x hana ili tuweke ulinganifu mzee tusibishane kwa maneno boss wangu apana bali twende kwa vitnendo dhidi ya maneno
 
Sasa CROWN anamzidi nini MARK X embu niambie ambacho CROWN anacho alafu MARK x hana ili tuweke ulinganifu mzee tusibishane kwa maneno boss wangu apana bali twende kwa vitnendo dhidi ya maneno
Zote ni za generation moja na ni the same engine ..
Uzito zimepishana kidogo ..crown imezidi kidogo this allows it to be more comfortable and stability ipo poa zaidi..all in all kila mtu ana personal interest zake ila muonekano wa crown ni far much better than mark x
 
Hii ni personal preference sio fact
Hio ndio fact hutak hulazimishwi tatizo nyie mnakariri na wote mmeshkiwa na proganda za wana crownia yaani wooote mmechukuliwa na izo propaganda embu siku moja panda MARK x alafu ndo urudi apa tubishane kuhusu ni nini na nani ni nani MARK X KUNA VINGI SANA KAMZIDI MBALI CROWN japo wengi mmekariri tu crown crown,

MARK X NI SEDAN CAR BORA SANA NA BOMBA SANA SANA KWANZA TU LETA RATIO YA AJALI ZA KUPINDUKA KATI YA MARK X NA CROWN LETA IYO RATIO ALAFU NDO NITAKUONGEZEA FACTS NYINGINE
 

Kwan mwonekano wa MARK X una shida gani mkuu yaani si unaongelea mwonekano wa nje mbona mi naona mwonekano wa CROWN ndo wa kilocal ila wa Mnyama X umekaa kibabe fulani ivi yaani umekaa kikushangaza alafu mbona x yuko comfrtable na stable zaidi akiwa barabarani kuliko uyo CROWN.

Kama unabisha check statics za ajali za kupinduka kati ya CROWN na X alafu uje uniambie ipi iko stable zaidi ya mwenzie alafu kama ni swala la speed nadhani unamuelewa mnyama x ama zote zinaweza kulingana ulaji wa mafuta zinalingana engine zote zinatumia za aina moja sasa apa CROWN maajabu yake ni yapi dhidi ya MARK X?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…