Siwezi kubishana na wewe kwa sababu kwanza unaongea kama mtoto, kusema wenzako tumekaririshwa bila kujua background za watu. Pili huna facts zozote kuonyesha mark X ni bora kuliko crown.
Hukatazwi kupenda unachokitaka ila usiamianishe watu bila facts kwamba mark X ni kali zaidi.
Zote zina engine sawa, 2GR, 3GR na 4GR. wheelbase ni ndefu kidogo kwenye crown, luxury features crown inazo nyingi zaidi hasa kwa kuwa zenyewe ni more luxury oriented, options crown anazo nyingi (majesta, royal au athlete). Hizi ndo facts, sio preference wala story.
Inaelekea hata hujui maana ya propaganda. Sina haja ya kupigia debe kitu nisichokuwa na maslahi nacho, tunaelimishana tu humu ndani
Hiyo rate ya ajali sina na ni wala ni mada umeleta wewe wala si mimi.