lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Mbona zote Sawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona zote Sawa tu
Gari ya mzungu yenye 2.5 L, kaa nayo mbali kama una sedan za kawaida za kijapan.. na kama utakuta ina 2.5 L twin turbo usisogee kabisaaa.. Kama una mjep wakoEbu tupe darasa kidogo tufanye comparison Kati ya Toyota crown 👑 na gari ya kijerumani sedan yenye CC 2400...
Ndiyo maana nimesema huwa hazipishani Sana na European cars
Sijawahi kuzikubali gari za Chini ni basi Tu umasikini unatukabili Ila mwanaume inabidi uwe kwenye Chuma ya Juu
Umenena kweli ..hakuna mtu asiependa gari nzuri ..shda ni vipato vyetu, tunaishia kutembelea run x au ist ukijitahidi sana forester au crownKila gari ina muda wake na watu wake
Kuliko kununua SUV kama Rav 4 old bora crown
Otherwise inategemea umenunua kwa matumizi gani.
Kile kirav4 massawe nacho kinabwia wese hatari aisee!Simpo jibu ni gear box, ya harrier ina gia 4 kwa cc2400 na gia 5 kwa 3000cc ila vanguard, rav 4 zina 2400cc ila ina CVT gia 6 kama cjakosea
Hapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbioHio ndio fact hutak hulazimishwi tatizo nyie mnakariri na wote mmeshkiwa na proganda za wana crownia yaani wooote mmechukuliwa na izo propaganda embu siku moja panda MARK x alafu ndo urudi apa tubishane kuhusu ni nini na nani ni nani MARK X KUNA VINGI SANA KAMZIDI MBALI CROWN japo wengi mmekariri tu crown crown,
MARK X NI SEDAN CAR BORA SANA NA BOMBA SANA SANA KWANZA TU LETA RATIO YA AJALI ZA KUPINDUKA KATI YA MARK X NA CROWN LETA IYO RATIO ALAFU NDO NITAKUONGEZEA FACTS NYINGINE
Watu hawajui hili na watakai kabisa kupata maarifa kuhusu hili basi mimi naamua tu kunyamaza kila mtu abaki na lakeHapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbio
Waga nawacheka sana wadau kwenye race zote crown vs mark x , MARKX kamkalisha CROWN lakin wabongo hawaelewi yaani daaah ni ubishi kwenye race za barabara za watu wanaojielewa yaani km 10 barabara imenyooka uko dunia CROWN kwenye race zote kakalishwa lakini mbongo ukimwambia anataka kukutoa macho duuh hatari sanaToyota mark x at 300kph
Ndugu yake crown amekuwa, mark x ya jdm amekuwa tunes
CROWN anaongoza kwa kupata ajalai za kupinduka hii ni kwa duniani kote CROWN vs MARK X kwenye ajali za kupinduka CROWN anaongoza tena kwa ratio kubwa mno lakin mbongo ukimwambia anataka kukutoboa utumbo daaah sasa mwisho inakuwa hamna maana ya kubishana ama kuelezana kila mtu abaki na analolijua!!Hapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbio
Boss mo nimeishia pale juu mkuu inatosha tusije chomana visu bure ndugu yangu na wakati magari yenyewe wametengeneza watu wenhine kisha tuje kuuana sisi basi inatosha wewe baki na ufahamu wako na mimi nibaki na wa kwangu broo tuendelee tu kupambana kujenga nchi yetu angalau na sisi ifikie wakati tuanze kuunda vasper ama gari za kobe!!Pole na Samahani kama kuna mahali nimekukwaza.
Wewe ndio ulianza kuambia watu tumekaririshwa, hilo ndio tusi sasa. Na ndio maana nikawa najaribu kukurudisha, uache hayo maneno yasiyo na msingi ujibu hoja, na dondoo ambazo ni facts nilikupa. Kuambia watu wamekaririshwa bila evidence wala hoja ni dharau na inakuwa tusi automatically.
Sasa tuache hayo tetea hoja zako au ishia hapo kwa kukubali kuwa judgement zako zilijuwa ni oversight. Halafu nenda kaongeze ujuzi ili ukiwa unaleta hoja iwe based on fact na si personal preference tu, na maneno ya kijiweni ya kuambia watu wamekaririshwa, sijui utopolo.
Na nasisitiza hata kama gari moja ni nzuri sana kuliko mwenzake, personal preference haizuiliki ila tusipotoshe facts coz wengi wanapata ujuzi na uzoefu huku
Labda brake kama mbovu, yani 90kmh izingue ikupeleke 80% ya ajari? Hamna kitu kama hiyo mzee. Hiyo crown napiga bampa to bampa hadi 150 na 140 town humu humu, mwendo wa kununyiza kitu ina stop fresh kabisa..Hapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbio
Huu uongo Sasa E-class hazikutengenezwa kwa Sababu ya kilio Cha waafrika,kwa purchasing power gani mliyonayo mpk Benz waumize kichwa kwa ajili yenu.Jemedaree Crown kumuita Japanese Benz unakuwa umeipaisha sana..
Reputation ya Benz ni gari luxurious..S Class..
Hizi E na C class zimekuja baadaye kabisa...!zimetengenezwa baada ya kilio cha Waafrika kutaka luxury cars kitonga..!
Crown hawezi kuwa Benz..
Lexus akijitahidi..!
Mji gani huo?Habari ya mjini ni discovery sasa ivi
Utaalam wao Ni kujaza tu ma-turbo kwny gari😄😄.Gari ya mzungu yenye 2.5 L, kaa nayo mbali kama una sedan za kawaida za kijapan.. na kama utakuta ina 2.5 L twin turbo usisogee kabisaaa.. Kama una mjep wako
3S hio-Old tech.Kile kirav4 massawe nacho kinabwia wese hatari aisee!
😅😅😅 Ila gari ambayo ni natural aspirated ina utamu wake, sema zenye supe charged au Bi-Turbo ni konyooo ukiwa unatembea nazo kuna mzuka flani unakapa unapoisikia inatanua kifua, nimeona ni nyie wajapan mmeanza kuwekeza kwenye Bi Turbo hizo Lc300.. Soon mtaanza kila chuma turboUtaalam wao Ni kujaza tu ma-turbo kwny gari😄😄.