Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

8-10 toun trips
Highway 13-14km/L

But nachoshauri crown usiweke mafuta ya efu 20 au 30
Yanawahi kuisha tofauti na ukiweka 50k au laki

Kuna jamaa aliwahi kueleza humu reason behind
But its practically true! Tia full tank unasahau
Kumbe simple tu ila watu waongo mara linakula sana kumbe wao kazi kuweka mafuta ya bukubuku
 
Kumbe simple tu ila watu waongo mara linakula sana kumbe wao kazi kuweka mafuta ya bukubuku

Hii yangu bado mpya
Nmeagiza mwenyewe mwaka huu

So nmefanya service castrol oil ,oil filter,air filter vyote og nmebadili oxygen sensor 1. So chuma iko poaa

Nazani kitu kinachoongeza ulaji wa mafuta
Ni poor services

Mfano jamaa angu ana crown kaweka plug za efu 15
Wakati plug OG zinaanzia efu40 @,oilfilter ya efu10[emoji2]
Gari lazima itakula mafuta tu,weka vitu og
 
Unataka kusema kuwa nikiagiza mfano crown royal saloon maana naipenda ikiwa na km 98000 nikaweka kila aina ya kilainishi kipya nabadilisha plug, oilfilter,airfilter, tairi mpua nakusa miguu yote kila kitu oxygen sensor kila kitu og hapa ni kwamba gari itakuwa mpya na ulaji wa mafuta itakuwa nzuri zaidi
 

Science haidanganyi mkuu
Hujasikia kuna watu wanalalamika IST zinakunywa mafuta,gari yeyote inahitaji matunzo
Hiyo Royal Saloon Utaifurahia
 
Crown ni taxi huko Japan
 
Kila mguu na tairi aina yake. Okota okota hiyo. Kwani bei ya mwisho unaiuza bei gani[emoji16][emoji16]
Mkuu acha dharau ndo kwanza inamiezi 3 nimeiokota JanJapan hebu cheki chuma kwa picha G package kama pesa unayo katoe 17 Milion ntanunua Soon tairi zote Mma zilizopo zimekuja na gari.
 

Attachments

  • IMG_20231007_124717.jpg
    724.4 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…