Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi chiefCc 3000 za crown hazilingani na cc 3000 za gari nyingine huku umeme mwingi mafuta kidogo[emoji28]
Inakupa consuption ipi kwa littre?Cc 3000 za crown hazilingani na cc 3000 za gari nyingine huku umeme mwingi mafuta kidogo[emoji28]
Inakupa consuption ipi kwa littre?
Kumbe simple tu ila watu waongo mara linakula sana kumbe wao kazi kuweka mafuta ya bukubuku8-10 toun trips
Highway 13-14km/L
But nachoshauri crown usiweke mafuta ya efu 20 au 30
Yanawahi kuisha tofauti na ukiweka 50k au laki
Kuna jamaa aliwahi kueleza humu reason behind
But its practically true! Tia full tank unasahau
Kumbe simple tu ila watu waongo mara linakula sana kumbe wao kazi kuweka mafuta ya bukubuku
Unataka kusema kuwa nikiagiza mfano crown royal saloon maana naipenda ikiwa na km 98000 nikaweka kila aina ya kilainishi kipya nabadilisha plug, oilfilter,airfilter, tairi mpua nakusa miguu yote kila kitu oxygen sensor kila kitu og hapa ni kwamba gari itakuwa mpya na ulaji wa mafuta itakuwa nzuri zaidiHii yangu bado mpya
Nmeagiza mwenyewe mwaka huu
So nmefanya service castrol oil ,oil filter,air filter vyote og nmebadili oxygen sensor 1. So chuma iko poaa
Nazani kitu kinachoongeza ulaji wa mafuta
Ni poor services
Mfano jamaa angu ana crown kaweka plug za efu 15
Wakati plug OG zinaanzia efu40 @,oilfilter ya efu10[emoji2]
Gari lazima itakula mafuta tu,weka vitu og
Unataka kusema kuwa nikiagiza mfano crown royal saloon maana naipenda ikiwa na km 98000 nikaweka kila aina ya kilainishi kipya nabadilisha plug, oilfilter,airfilter, tairi mpua nakusa miguu yote kila kitu oxygen sensor kila kitu og hapa ni kwamba gari itakuwa mpya na ulaji wa mafuta itakuwa nzuri zaidi
Ahsante kwa kunitia moyoScience haidanganyi mkuu
Hujasikia kuna watu wanalalamika IST zinakunywa mafuta,gari yeyote inahitaji matunzo
Hiyo Royal Saloon Utaifurahia
hahaha una michuzi ndio maana unaona chuma haili sana wese,,,ila kiuhalisia 3gr na 3gr zinatafuna
tafuna maisha chifu usiogope mtu[emoji23][emoji23][emoji119]ukorofi huo
Hamna wala kawaida tu mkuu
Crown ni taxi huko JapanMoja ya gari pendwa hapa mjini
Ni Executive sedan Inakupa kila kitu comfort,luxurious,performance&reliabilty!!
Ukiona nyingi ujue zinapendwa na affordable
Utagundua hata TRA wamezipandishia ushuru hii imepelekea hata resale value yake kuongezeka hivi
Karibuni wapenzi na wamiliki wa crown kene thread!View attachment 2434741
Everybody deserves a Crown [emoji146]
Drop your experience and picture [emoji1484]
[mention]Extrovert [/mention] our brand ambassador [emoji23][emoji91]View attachment 2434742
View attachment 2434743
View attachment 2434744
View attachment 2434745
View attachment 2434746
View attachment 2434747
View attachment 2434748
Hahaha unataka kusemajeCrown ni taxi huko Japan
Crown ni taxi huko Japan
Haya gari gani sio Taxi?
Au hujui maana ya taxi mkuu[emoji23]
Kuna Mercedes S class taxi USA ni hela yako tu
Mkuu acha dharau ndo kwanza inamiezi 3 nimeiokota JanJapan hebu cheki chuma kwa picha G package kama pesa unayo katoe 17 Milion ntanunua Soon tairi zote Mma zilizopo zimekuja na gari.Kila mguu na tairi aina yake. Okota okota hiyo. Kwani bei ya mwisho unaiuza bei gani[emoji16][emoji16]
Hata ulaya hizo mercedes benz E clasa na BMW 5 series ni taxi
Ni bongo tu ndo gari mbaya tunaweka taxi
Wenzetu taxi ni kali aisew yani full comfort
Ukitembelea rpm vizuri kakaNimesafiri juzi kutoka Dar to Arusha na crown athletic ,niliweka full tank,mpaka nafka Arusha bado mafuta yapo tu
Hii imekaaje wakuu it means gari hangi inatumia vzuri mafuta?