Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Watu wasio na exposure wakiambiwa gari fulani ni taxi ulaya wanaanza kufananisha na hizi carina taxi za bongo.
Kwanini altezza ya cc 1990 inakula wese zaidi ya crown ya 250 cc?Sasa brevis nahisi ni mara mbili zaidi..maana kuna baadhi ya matuta unakua huyaoni vzuri kaama ni mgeni utayafukia sana
Sina uzoefu na hyo altezza ila Engine ya crown ipo more advanced...Kwanini altezza ya cc 1990 inakula wese zaidi ya crown ya 250 cc?
Kwanini altezza ya cc 1990 inakula wese zaidi ya crown ya 250 cc?
View attachment 2776817
Halafu nauli ni kawaida kabisa,ila kwa bongo ukimiliki mercedes wewe tajiri [emoji3]
Kama gari zote ziko nzima hapo Udereva ndo unachangia kwa kiasi kikubwa. Ukiwa na mguu mzito rpm zinafika 3000 na kuendelea lazima gari ibugie. Na je walikuwa wanashindana? Maana tezza manual yenye injini ya 3s inabugia maana una uwezo wa kushift na rpm za 7000 huko.Kwanini altezza ya cc 1990 inakula wese zaidi ya crown ya 250 cc?
Pia 1vd ina cc4400 itaachaje kubugia.Technology ndo inazalisha haya. Landcruiser 300 yenye engine ya diesel V6 cc3300 ina nguvu na inakula mafuta kidogo kuliko LC 200, V8.
hii 3s inazilisha hp ngapi mkuu hadi ikae mbele ya 4gr?Kama gari zote ziko nzima hapo Udereva ndo unachangia kwa kiasi kikubwa. Ukiwa na mguu mzito rpm zinafika 3000 na kuendelea lazima gari ibugie. Na je walikuwa wanashindana? Maana tezza manual yenye injini ya 3s unaikata 4gr vizuri kabisa ila wese itabugia maana hapo unashift na rpm za 7000 huko.
210hp tu ila mzigo ni manual mzee hivyo unashift wewe kwenye rpm utakayo sio kama auto inabadilisha ikitaka yenyewe. Na factor ya muhimu kabisa mpaka crown inaachwa ni power to weight ratio. Crown yenye 4gr na yenyewe ina hp 200 huko ila ni nzito kuliko altezza.hii 3s inazilisha hp ngapi mkuu hadi ikae mbele ya 4gr?
Asante kwa maelezo mkuu210hp tu ila mzigo ni manual mzee hivyo unashift wewe kwenye rpm utakayo sio kama auto inabadilisha ikitaka yenyewe. Na factor ya muhimu kabisa mpaka crown inaachwa ni power to weight ratio. Crown yenye 4gr na yenyewe ina hp 200 huko ila ni nzito kuliko altezza.
Chuma naona ina uwezo wa kutembea mpaka 220km halafu naona dereva kala skuna [emoji119].210hp tu ila mzigo ni manual mzee hivyo unashift wewe kwenye rpm utakayo sio kama auto inabadilisha ikitaka yenyewe. Na factor ya muhimu kabisa mpaka crown inaachwa ni power to weight ratio. Crown yenye 4gr na yenyewe ina hp 200 huko ila ni nzito kuliko altezza.
Yeah tezza za edition hiyo (modelista) huwa zina 220kph. Hahaha sio skuna hiyo,View attachment 2783064
Wewe si umejikita kwenye comfort mkuu (crown), wengine si tunadata na mwendo tuu😅Sikuwahi kujua[emoji28]
Hii chuma ya nani boss?Ila crown hii hakuna tezza inayokamata hapa bongo (ukitoa walizoziweka jz engines)
Mzigo una jiko la 2gr na top speed ya 260kph
Ilikuwa ya Msela mmoja yupo Dom. Kwa sasa sijui iko mikononi mwa nani.Hii chuma ya nani boss?
Ahaaa sawaIlikuwa ya Msela mmoja yupo Dom. Kwa sasa sijui iko mikononi mwa nani.
Hizo crown zaidi ya speed 180 mnazipataje mbona sizioni kwenye site za kuuza magari?Ila crown hii hakuna tezza inayokamata hapa bongo (ukitoa walizoziweka jz engines)
Mzigo una jiko la 2gr na top speed ya 260kph