Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Mfuko ukiruhusu chukua benz mzee. Benz miaka na miaka ndo wanaset benchmark linapokuja suala la engineering.
 
mkuu wa kazi golf tena?
 
Jemedaree ulikuwa unauliza kama kuna barabara hapa bongo gari inafika 260, hapo vyuma vilikuwa vinaenda Arusha kuwakalisha mkoa na vilibomoa gari za chuga.

Nmekubalii mkuu

Kikubwa ni acceleration na stability ya gari
Gari inayochanganya faster na brake nzuri inafika vizuri
Nimesafiri juzi Dar-Arusha mkeka saafi hata traffic wamepungua sana[emoji28]
 
Golf mk6 unqapata 20+m ila hii bmw utachagua uchukue hyo au discovery 4 [emoji23][emoji23]
Volkswagen wapo vizuri kwenye gear box zao za DSG TRANSMISSION angalia gari kama GTI inavyochanganya mapema ni balaa la hatari..
Gear zinaingia Kwa namba 2-4-6 huku clutch plate nyingine imezuia gear namba 1-3-5 yaani ni kama vile gari inatumia gear box mbili kwenye gari moja.. hapa ndipo mjapan anapigwa MAKOFI barabarani na mjerumani ni kama vile BMW kwenye upande wa engine zenye nguvu hawa ndiyo wataalamu
 

Mkuu nmefatilia hii kitu DSG[emoji91]
Hebu eleza vizuri hapa DSG
kwamba inatoka gear 2 straight gear 4?
 
Tatizo vidimbwi tu ndiyo teknolojia yao iliposhindwa kuvuka
 
Uliagiza kwa bei gani?
 
Umesema kweli kila mtu na interest yake.Mfano mm nikisia sijui Crown sijui mark x hata sisimki kama nikisia corola x.
Hapo haunitoi hata unambie nn,sijui nina matatizo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…