Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Nishaandaa playlist ya nyimbo nitakazokua napiga nikienda churchKwahiyo sasa hivi umeanza nunua tairi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishaandaa playlist ya nyimbo nitakazokua napiga nikienda churchKwahiyo sasa hivi umeanza nunua tairi
Zote tuNew model or old model?
Sasa bongo tunalinda nini yani? Unaweka kodi 110% halafu hamna kiwanda zaidi ya assembly plants za wachina tu! Is that sane?Aisee ni kweli mkuu,hata India naona hawako nyuma kwny kulinda viwanda vyao.
India wao Import duty kwa used car Ni 125% ,sio mchezo.
Kwangu X naipenda zaidi ya Crown mzee, sema sitaki walimwengu wantoe macho ila X inanivutia zaidiMkuu huo ndo ukweli lakini wabongo hawataki kuujua wala kuutambua ukweli ndugu yaani wako tayari wakutoe macho unapoigusa CROWN hawataki kujua kuwa mnyama MARK X mbabe na mkali kuliko Mnyama wao!!
Kumbe washatoa GR VersionMark x gr ikiwa na manual transmission na ubaoni ishakatwa kamba... View attachment 2441261
Ipo mkuu, kuna mwamba hapo zambia anayo na ni mpenda sifa so huwa anawanyoosha sana yaaani..Kumbe washatoa GR Version
Wewe mwenyewe kwenye haya maelezo yote hujaweka facts wala numbers hata moja, unaishia kusema Mark X ni SEDAN CAR bora.Hio ndio fact hutak hulazimishwi tatizo nyie mnakariri na wote mmeshkiwa na proganda za wana crownia yaani wooote mmechukuliwa na izo propaganda embu siku moja panda MARK x alafu ndo urudi apa tubishane kuhusu ni nini na nani ni nani MARK X KUNA VINGI SANA KAMZIDI MBALI CROWN japo wengi mmekariri tu crown crown,
MARK X NI SEDAN CAR BORA SANA NA BOMBA SANA SANA KWANZA TU LETA RATIO YA AJALI ZA KUPINDUKA KATI YA MARK X NA CROWN LETA IYO RATIO ALAFU NDO NITAKUONGEZEA FACTS NYINGINE
Haijui Crown Majesta huyu😅😅Wewe mwenyewe kwenye haya maelezo yote hujaweka facts wala numbers hata moja, unaishia kusema Mark X ni SEDAN CAR bora.
Hizo manual transmission nimechungulia Beforward bei zake sio za kitanzania kabisa 😅😅😅 na zipo mbili za kuwahi haraka sana.. Kisahani 280Ipo mkuu, kuna mwamba hapo zambia anayo na ni mpenda sifa so huwa anawanyoosha sana yaaani..
Sahizi wajapan tunajibu kwa vitendoUmeona unyama huu.. Ila sio bei ya kizalendo 😅😅😅😅 limiter haipo mwanawane unachapa badi 280 kifuani 3.5L
View attachment 2441738
Extrovert
Horsepower ziendane na kisahani 😂😂😂, oh akifika 180 unamkata tu. Hio inaitwa GR aka jipimieHizo manual transmission nimechungulia Beforward bei zake sio za kitanzania kabisa 😅😅😅 na zipo mbili za kuwahi haraka sana.. Kisahani 280
View attachment 2441739
Extrovert
Wajeruma haya mambo ya kawaida sana 😅😅 alafu toka kitambo ndio maana gari za mjerumani sahani ina 280 bei kitongaaa ila unaona mjapan yenye sahani 280 haigusiki na mzalendoSahizi wajapan tunajibu kwa vitendo
😄😄 Mpk kuifikisha bongo itagharimu tsh. 107mil bila Kodi mamamamae 😄😄Umeona unyama huu.. Ila sio bei ya kizalendo 😅😅😅😅 limiter haipo mwanawane unachapa badi 280 kifuani 3.5L
View attachment 2441738
Extrovert
Hahahahahaha..... hapo utakula kwa urefu wa kamba yako mkuu..... akikuacha mitaa ya iyovi mule ujue utamkuta tunduma na x3 yako...Horsepower ziendane na kisahani [emoji23][emoji23][emoji23], oh akifika 180 unamkata tu. Hio inaitwa GR aka jipimie
Kana 318.. Hiyo unamsikilizia mtu na GTI yake anakuchapa, alafu unamfungia kazi anashangaaa shwaaaaa umemla kichwaaa 😅😅😅Horsepower ziendane na kisahani 😂😂😂, oh akifika 180 unamkata tu. Hio inaitwa GR aka jipimie