ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Watakuua ndugu yangu watakupiga mawe wana hawataki kabisa kuujua wala kuuelewa ukweli mzee wanguSema mark x new model iko poa sana kulinganisha na crown
....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuua ndugu yangu watakupiga mawe wana hawataki kabisa kuujua wala kuuelewa ukweli mzee wanguSema mark x new model iko poa sana kulinganisha na crown
....
Kwangu mimi naiona kali...kwanza ile dashboard yake unyamaa wa kutoshaa...njee sasa mbeleee daaaaaahWatakuua ndugu yangu watakupiga mawe wana hawataki kabisa kuujua wala kuuelewa ukweli mzee wangu
Sahihi kabisa mkuu,mwaka 1989 Tangazo la Lexus Ls400 kwny TV lililowapa umaarufu Sana Ni pale walipozipanga glass nyingi za shampeni juu ya boneti la hio gari na ikaendeshwa ikiwa kwny dyno mpk kwny speed 145MPH=233km/h na hakuna glass iliyovunjika hata 1.Uzuri wa gari zenye engine kubwa ndio huo, zinakuwa smooth hadi raha, na inatulia huwezi ona vibration za kijinga kijinga kama vyenye engine ndogo
Mie ndio umenichoka kama kiroba cha taka cha nyumbani 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Walah umenichoka!!
Engine ndogo kigari kinajitutumua lazima kiteteme sana tu 😅😅😅😅 gari nzuri anzia na V6 kama hela ipo V10 sio mbaya huitaji hata turbo maana haupo kwenye kushindana na mtuSahihi kabisa mkuu,mwaka 1989 Tangazo la Lexus Ls400 kwny TV lililowapa umaarufu Sana Ni pale walipozipanga glass nyingi za shampeni juu ya boneti la hio gari na ikaendeshwa ikiwa kwny dyno mpk kwny speed 145MPH=233km/h na hakuna glass iliyovunjika hata 1.
Mwaka 2019 Tena rais wa Toyota aitwae Akio Toyoda alirudia tena kufanya zoezi hilo, alizipanga glass za shampeni nyingi juu ya bonet la Lexus LS 500,na akaendesha hio Gari mpk kwny speed 138MPH=220km/h na Gari ikiwa kwny dyno na hakuna glass iliyovunjika hata 1.
Video ziko huko YouTube.
Hui ndio utamu wa Engine kubwa,tujaribu kufanya Hilo zoezi kwny kwny ka-engine kadogo tujionee 😄😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mie ndio umenichoka kama kiroba cha taka cha nyumbani 🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅 Kweli kuke ulinifukuza ati mwanaume gani wewe kutwa unashinda JF hujui kuwa mie muandishi wa habari wa kujitegemea🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah!! Unapenda kunisingizia mambo mazito mazito 🙆🙆🙆
😄😄 Watu wakisikia India wanapata picha ya vile vigari vya maruti vikiwa vimejaa road,hawajui Lambo ziko huko za kutoshaAkina Kanjibahi na wao hawaelewi wanapenda sana gari za nje, India kuna Lambo, hizi RR, G wagon nyingi, watu wana pesa..
😄😄 Naunga hoja mkuu.Engine ndogo kigari kinajitutumua lazima kiteteme sana tu 😅😅😅😅 gari nzuri anzia na V6 kama hela ipo V10 sio mbaya huitaji hata turbo maana haupo kwenye kushindana na mtu
Habari zenyewe unazoandika sasa!!! Mungu ndio anajua🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅 Kweli kuke ulinifukuza ati mwanaume gani wewe kutwa unashinda JF hujui kuwa mie muandishi wa habari wa kujitegemea
Mkuu huo ndo ukweli lakini wabongo hawataki kuujua wala kuutambua ukweli ndugu yaani wako tayari wakutoe macho unapoigusa CROWN hawataki kujua kuwa mnyama MARK X mbabe na mkali kuliko Mnyama wao!!Kwangu mimi naiona kali...kwanza ile dashboard yake unyamaa wa kutoshaa...njee sasa mbeleee daaaaaah
😒😒😒 Eeeh uki broke kabisa moyo wangu hadi nika 😢😢😢😢 ndio kabisa ukanitupia na redcardHabari zenyewe unazoandika sasa!!! Mungu ndio anajua🤣🤣🤣🤣
Wacha bwana!!😒😒😒 Eeeh uki broke kabisa moyo wangu hadi nika 😢😢😢😢 ndio kabisa ukanitupia na redcard
Mkuu huo ndo ukweli lakini wabongo hawataki kuujua wala kuutambua ukweli ndugu yaani wako tayari wakutoe macho unapoigusa CROWN hawataki kujua kuwa mnyama MARK X mbabe na mkali kuliko Mnyama wao!!
Nimeangalia KRA import duty asee kodi zao hazina tofauti na zetuKinachoumiza ni kodi, hata hapo ukiangalia gari za importbykailos kenya zipo gari kali, na kununua wala sio kipengele ila ukiwaza kodi kama unanua hari ya pili, hapo ndio tunachoshana mkuu, tunabaki na old model hizo hizo za 2009.. Chuma nzuri anzia 2016 kuja juu unafurahi gari
Kodi zao hazina tofauti na zetu ila uchumi wao una ahueni sio kama sieNimeangalia KRA import duty asee kodi zao hazina tofauti na zetu
Haya bana usiku mwema 😥😥😥Wacha bwana!!
Asanteee! Nawe pia.Haya bana usiku mwema 😥😥😥
Mark x gr ikiwa na manual transmission na ubaoni ishakatwa kamba...
Kwahiyo sasa hivi umeanza nunua tairiMm sina IST ila gari ya kwanza ntavuta toyota grand mark II au run x