Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Ile Kitu mi mwenyewe naikubali kinyama,be forward Kuna kipindi zilikuaga zinauzwa Bei Chee tu ,CIF $3100 hapo na TRA Kodi kawaida tu.Siku hizi naona ndio wamezipandisha mpk $6000's huko.

Kuna mzee kinyerezi anayo Hio century na competitor wa hio century kutoka Nissan iitwayo President.

Mtu wa magari huyo mzee, vijana wa Altezza na Subaru wakiziona watasema huu Ni uchafu gani tena mzee Amenunua.
Nafikiri inakaza hapo kwenye V12 alafu petrol 😅😅😅 lazima uwe na support ka 1.6L siku pakichacha unadumbukia zako kwenye 1.6L maisha yanaenda.. Hizo ndio gari sasa hata kuvimba town unavimba
 
Cillah Mtoto mzuri yule, sema ananiona mie kama wakala wa shetani, kasahahu wakandarasi quotation moja tu inampa kila kitu anachotaka mtoto mzuri kama yeye 😅😅😅😅
😄😄 Wenzake hua wanabebwa kwny ndinga za maana,akishakaa tu humo ghafla jina linabadilika unaanza kuitwa my Hubby.

Amelowaaaaa amelowaaaa-Harmo
 
😄😄 Wenzake hua wanabebwa kwny ndinga za maana,akishakaa tu humo ghafla jina linabadilika unaanza kuitwa my Hubby.

Amelowaaaaa amelowaaaa-Harmo
😅😅😅😅 Hajui, mkandarasi naweza shinda humu ndani kumbe nasikiliza mchongo wa billions of Tanzanian shilings.. Siku panachafuka namvuta na mpeleka pale CFAO achukue chuma anayotaka, ila sasa hivi naoneka wakala 🤣🤣🤣 hawa wa humu wanapiga mifuko ya dhahabu na teke 😅😅😅 wakajifunze kwa mke wa Ruto
 
Nchi inaongozwa na wezi, akili na maono watatolea wapi.. Hasara sana mbogamboga na serikali yao.. Ndio wanafanya tuishi kizushi
Huwa natafakari waondoe kodi kabisa kwenye gari latest, au waweke kodi kidogo kwenye vyuma latest mji upendeze, ujue bwana vipando vinapendezesha mji, hivi sisi ni wa kusema gari ya 2009 new model kweli? inasikitisha sana.

Mi naamini kuna vijana wabishi kodi zikishuka kesho wanavuta Range Sport za 2023.
 
Huwa natafakari waondoe kodi kabisa kwenye gari latest, au waweke kodi kidogo kwenye vyuma latest mji upendeze, ujue bwana vipando vinapendezesha mji, hivi sisi ni wa kusema gari ya 2009 new model kweli? inasikitisha sana.... Mi naamini kuna vijana wabishi kodi zikishuka kesho wanavuta Range Sport za 2023.
Kinachoumiza ni kodi, hata hapo ukiangalia gari za importbykailos kenya zipo gari kali, na kununua wala sio kipengele ila ukiwaza kodi kama unanua hari ya pili, hapo ndio tunachoshana mkuu, tunabaki na old model hizo hizo za 2009.. Chuma nzuri anzia 2016 kuja juu unafurahi gari
 
Back
Top Bottom