Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

IMG-20221205-WA0011.jpg
chukua hii toyota crown rangi ya silver kwa milioni 10.....ila pia punguzo lipo
 
Kwan mwonekano wa MARK X una shida gani mkuu yaani si unaongelea mwonekano wa nje mbona mi naona mwonekano wa CROWN ndo wa kilocal ila wa Mnyama X umekaa kibabe fulani ivi yaani umekaa kikushangaza alafu mbona x yuko comfrtable na stable zaidi akiwa barabarani kuliko uyo CROWN kama unabisha check statics za ajali za kupinduka kati ya CROWN na X alafu uje uniambie ipi iko stable zaidi ya mwenzie alafu kama ni swala la speed nadhani unamuelewa mnyama x ama zote zinaweza kulingana ulaji wa mafuta zinalingana engine zote zinatumia za aina moja sasa apa CROWN maajabu yake ni yapi dhidi ya MARK X?
Hizi gari ziko sawa zote mbili ni swala la preferences tu na package inayokuja nayo. Engine ni ile ile hata platform ziliotengenezewa ni ile ile tofauti ni kasha.

Kubishana ni sawa na mtu anayependa Alion amseme mpenzi wa Premio kwamba Allion ni nzuri kuliko Premio wakati gari ni ile ile tu
 
Jemedaree Crown kumuita Japanese Benz unakuwa umeipaisha sana..
Reputation ya Benz ni gari luxurious..S Class..
Hizi E na C class zimekuja baadaye kabisa...!zimetengenezwa baada ya kilio cha Waafrika kutaka luxury cars kitonga..!
Crown hawezi kuwa Benz..
Lexus akijitahidi..!
Cha ajabu Lexus ina offer more comfort at a cheaper TAG than Benz
 
Sijui vip tena mzee, hiyo body structure mm naielewa ukicompare na sedans, haijalishi aina ya gari..muda mwingine usikurupuke kuquote wanaume na kuanza kujichekesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee sasa unaposema sedan cars huzielewi alaf unasema unapenda hatchback sidhan kama utakuwa unaeleweka😀 kwa ufupi hakuna tofauti ya kimantiki zaidi ya body type tu.

Wote wasiopenda sedan wanapenda Suv and vice versa. Kujifunza sio ujinga kubali kujifunza kuliko kuandika vitu ambavyo uvielewi
 
Wabongo hawashindwagi kitu.

Maana Freelander kibao zimejazwa 3S.

Lkn sijaona sababu ya kuweka 4s kwny crown,maana engine za crown Ni bulletproof,Bora hao Freelander wao walikua Wana sababu ya msingi ya kuweka 3S,engine za Freelander ziitwazo K-series zilikua Ni kimeo Sana.
Nami nataka kwa unafuu wa wese mkuu ili niwe kama naendesha baiskeli tu hata chooni napiga stata to toilet
 
Hongera mkuu gari nzuri sana hizo na comfo ipo ya kutosha, kama jamaa angu hapo juu wa kupuliza alivyosema, hizo ndio gari sasa, mi hata li LS 600 naishi nalo tu, hakuna kuazimana kwanza kila mtu ataliogopa, vipi hio consumption yake...
Kwenye comfortability ni balaa sana sema inakula wese sio poa CC 4,000 V8. Nilibadili engine nikaweka Beams 2000 CC 2,000 sema ndo nimevuruga kiasi mfumo wake wa umeme. Spea pia ilikuaga inazingua nimekuja kupata nafuu baada ya crown kuwa nyingi ndo zinaingiliana vizuri
 
Back
Top Bottom