Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Sio kwamba zilitengenezwa kulenga soko la Ulaya na Amerika, kwa maana zimekaa bomba sana..
Celsior Ni soko la Japan Hilo,LS 400 ndio kwa soko la US.

wamarekani wanatamani sana hizo JDM lkn US wana sheria Yao ya 25 year import rule,inaruhusu ku-import ndinga ikiwa imeshapita miaka 25 tangu zizalishwe.So Gari za kuanzia 1997 kwenda nyuma wanazi-import fresh tu.
 
Hio ndio fact hutak hulazimishwi tatizo nyie mnakariri na wote mmeshkiwa na proganda za wana crownia yaani wooote mmechukuliwa na izo propaganda embu siku moja panda MARK x alafu ndo urudi apa tubishane kuhusu ni nini na nani ni nani MARK X KUNA VINGI SANA KAMZIDI MBALI CROWN japo wengi mmekariri tu crown crown,

MARK X NI SEDAN CAR BORA SANA NA BOMBA SANA SANA KWANZA TU LETA RATIO YA AJALI ZA KUPINDUKA KATI YA MARK X NA CROWN LETA IYO RATIO ALAFU NDO NITAKUONGEZEA FACTS NYINGINE
Sema mark x new model iko poa sana kulinganisha na crown
....
 
Nahisi ndio engine pekee hio ya century Toyota walitengeneza ikiwa na V12..
Hii chuma ipo poa sana, inawezakana sidhani kama wana V12 ingine zaidi ya hii hapa
images_edit_171027733810360.jpg
 
Celsior Ni soko la Japan Hilo,LS 400 ndio kwa soko la US.

wamarekani wanatamani sana hizo JDM lkn US wana sheria Yao ya 25 year import rule,inaruhusu ku-import ndinga ikiwa imeshapita miaka 25 tangu zizalishwe.So Gari za kuanzia 1997 kwenda nyuma wanazi-import fresh tu.
Na hizo ni mbinu za kulinda soko la ndani lisife, sababu zao ni safety ni pollution, wazungu wana njama sana.
 
Mie nalipenda zaidi Century na ile ni V12 unyama sana, na uzalishaji wake zile nahisi ni limited.
Ile Kitu mi mwenyewe naikubali kinyama,be forward Kuna kipindi zilikuaga zinauzwa Bei Chee tu ,CIF $3100 hapo na TRA Kodi kawaida tu.Siku hizi naona ndio wamezipandisha mpk $6000's huko.

Kuna mzee kinyerezi anayo Hio century na competitor wa hio century kutoka Nissan iitwayo President.

Mtu wa magari huyo mzee, vijana wa Altezza na Subaru wakiziona watasema huu Ni uchafu gani tena mzee Amenunua.
 
Back
Top Bottom