Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Uzuri wa gari zenye engine kubwa ndio huo, zinakuwa smooth hadi raha, na inatulia huwezi ona vibration za kijinga kijinga kama vyenye engine ndogo
Sahihi kabisa mkuu,mwaka 1989 Tangazo la Lexus Ls400 kwny TV lililowapa umaarufu Sana Ni pale walipozipanga glass nyingi za shampeni juu ya boneti la hio gari na ikaendeshwa ikiwa kwny dyno mpk kwny speed 145MPH=233km/h na hakuna glass iliyovunjika hata 1.

Mwaka 2019 Tena rais wa Toyota aitwae Akio Toyoda alirudia tena kufanya zoezi hilo, alizipanga glass za shampeni nyingi juu ya bonet la Lexus LS 500,na akaendesha hio Gari mpk kwny speed 138MPH=220km/h na Gari ikiwa kwny dyno na hakuna glass iliyovunjika hata 1.

Video ziko huko YouTube.

Hui ndio utamu wa Engine kubwa,tujaribu kufanya Hilo zoezi kwny kwny ka-engine kadogo tujionee 😄😄
 
Engine ndogo kigari kinajitutumua lazima kiteteme sana tu 😅😅😅😅 gari nzuri anzia na V6 kama hela ipo V10 sio mbaya huitaji hata turbo maana haupo kwenye kushindana na mtu
 
Mkuu huo ndo ukweli lakini wabongo hawataki kuujua wala kuutambua ukweli ndugu yaani wako tayari wakutoe macho unapoigusa CROWN hawataki kujua kuwa mnyama MARK X mbabe na mkali kuliko Mnyama wao!!
Screenshot_20221209-222954_Gallery.jpg
 
Kinachoumiza ni kodi, hata hapo ukiangalia gari za importbykailos kenya zipo gari kali, na kununua wala sio kipengele ila ukiwaza kodi kama unanua hari ya pili, hapo ndio tunachoshana mkuu, tunabaki na old model hizo hizo za 2009.. Chuma nzuri anzia 2016 kuja juu unafurahi gari
Nimeangalia KRA import duty asee kodi zao hazina tofauti na zetu
 
Back
Top Bottom