Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Mimi ndo naishi nayo mwaka wa 3 huu,ila na karibia kuiachia sasa niangalie nahamia wapi

Kila nikipiga jicho najisemea nitapata wapi comfort hii ya crown[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Kumbe tuko wengi niko na 3GR CC3000 G-Package, nilichogundua G package zipo chache sana. Wahshkaj wangu kibao wana crown ila ya kwangu wanaona iko tofauti ina manjonjo mengi yameongezwa. Sema nimekosa sunroof tu.

Hizi chuma kwa power, stability
IMG_5775.jpg

and comfort mjapani alituliza kichwa
 
Kumbe tuko wengi niko na 3GR CC3000 G-Package, nilichogundua G package zipo chache sana. Wahshkaj wangu kibao wana crown ila ya kwangu wanaona iko tofauti ina manjonjo mengi yameongezwa. Sema nimekosa sunroof tu.

Hizi chuma kwa power, stability View attachment 2764713
and comfort mjapani alituliza kichwa

Mimi yangu ni 4GR 4WD mimi yangu inakila kitu hakuna kitu nimemiss,ila hizi G package ni chache sanaaaaah mkuu kama unavyosema.
 
Congratulations sana mkuu!

Pia inaonekana watu wengi hawajui tofauti hizi zilizopo kwenye crown za G package.

Maana nakuta wenzangu wanakua disappointed sana wanapoona za kwao hazina extra features. Wanasema dah laiti ningejua ningenunua kama yako
 
Ebwana eeh hiyo 4WD si ndo wanasemaga AWD kwa gari hizo? Fuel Comsumption yake ikoje?

Kwa upande wangu ni AWD ina gia 6, fuel consumption sio rafiki sana (3000cc). Nikiendesha kistaarabu speed 80-100 napata average ya 10-11km per lita (ila kwa crown ni mara chache sana utaendesha hii speed maana dude linaita sana utajikuta tu uko 140) happ nidhamu na uvumilivu unahitajika sana

Ila nikitaka kupata ile power ya v6 na ligi za road hapo napata 7-9km per lita.

NB: hizo average huwa ninaset nasoma pale kwenye dashboard. Kuna ile button ya DISP ukisafiri unabonyeza kuona average umetumia consumption gani

Sijawahi kupima kwa kuweka lita kadhaa then kusafiri. So watanisaidia wenzangu kama zile estimations za kwenye dashboard ni accurate au la.

Pia hizi estimations nimekupa sio za kwenye foleni. Kama unakaa dar inaeza kuwa poor zaidi sababu ya foleni. Mimi nakaa mkoani hakuna foleni kabisa.
 
Congratulations sana mkuu!

Pia inaonekana watu wengi hawajui tofauti hizi zilizopo kwenye crown za G package.

Maana nakuta wenzangu wanakua disappointed sana wanapoona za kwao hazina extra features. Wanasema dah laiti ningejua ningenunua kama yako

Ni kweli kabisa,kipindi mimi na nunua nilikuwa sijui kama kuna G package wala nini mimi niliagizaga tu[emoji23][emoji23][emoji119] baadae ndo watu wananiambia hiyo yako ni G package daah[emoji23][emoji23]

Kiukweli mimi nilibahatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kwa upande wangu ni AWD ina gia 6, fuel consumption sio rafiki sana (3000cc). Nikiendesha kistaarabu speed 80-100 napata average ya 10-11km per lita (ila kwa crown ni mara chache sana utaendesha hii speed maana dude linaita sana utajikuta tu uko 140) happ nidhamu na uvumilivu unahitajika sana

Ila nikitaka kupata ile power ya v6 na ligi za road hapo napata 7-9km per lita.

NB: hizo average huwa ninaset nasoma pale kwenye dashboard. Kuna ile button ya DISP ukisafiri unabonyeza kuona average umetumia consumption gani

Sijawahi kupima kwa kuweka lita kadhaa then kusafiri. So watanisaidia wenzangu kama zile estimations za kwenye dashboard ni accurate au la.

Pia hizi estimations nimekupa sio za kwenye foleni. Kama unakaa dar inaeza kuwa poor zaidi sababu ya foleni. Mimi nakaa mkoani hakuna foleni kabisa.

Ile inayosoma Kene dashboard iko
Na kuna live consumption
Na average ambayo iko calculated from last 100km

Mi 3GR hunipa 8-9 kwa mjini dsm
Lakini highway 12-14 km/L

Hapo ni full AC sina wasiwasi
Hizi gari tamu comfortable na very powerful
Inahitaji nidhamu ya juu kufata sheria[emoji16]
Nachoshukuru gari ni 1.7tonne uzito unaisaidia kuwa stable barabarani
 
Ni kweli kabisa,kipindi mimi na nunua nilikuwa sijui kama kuna G package wala nini mimi niliagizaga tu[emoji23][emoji23][emoji119] baadae ndo watu wananiambia hiyo yako ni G package daah[emoji23][emoji23]

Kiukweli mimi nilibahatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

G package unyama sana mkuu
Yangu nliitafuta week nzima SBT [emoji23]
Nlibahatisha ina aftermarket rim,dash camera,body kit
 
Ile inayosoma Kene dashboard iko
Na kuna live consumption
Na average ambayo iko calculated from last 100km

Mi 3GR hunipa 8-9 kwa mjini dsm
Lakini highway 12-14 km/L

Hapo ni full AC sina wasiwasi
Hizi gari tamu comfortable na very powerful
Inahitaji nidhamu ya juu kufata sheria[emoji16]
Nachoshukuru gari ni 1.7tonne uzito unaisaidia kuwa stable barabarani

Pia ni Gari ambayo ime beat gari nyingi sana zilizopo hapa kwetu in terms of comfy,smooth acceleration,shape yake,power daah can’t explain.

Mtihani unakuja ukitoka kwenye Crown uhamie kwenye Gari gani yenye kufanana au kuizidi crown?mbali na Gari za ulaya…tuzungumzie Gari zetu za toyota.
 
G package unyama sana mkuu
Yangu nliitafuta week nzima SBT [emoji23]
Nlibahatisha ina aftermarket rim,dash camera,body kit

Hongera mkuu zipo chache unajua na hivi zimepanda bei

Mimi kipindi naagiza crown zilikuwa bei ya chini mkuu 13 milion 14milion from japan hapa nazumzia 2019/20

Alafu nilijua zitachuja kama brevis lakini naona ndo zinazidi kupepea.
 
Pia ni Gari ambayo ime beat gari nyingi sana zilizopo hapa kwetu in terms of comfy,smooth acceleration,shape yake,power daah can’t explain.

Mtihani unakuja ukitoka kwenye Crown uhamie kwenye Gari gani yenye kufanana au kuizidi crown?mbali na Gari za ulaya…tuzungumzie Gari zetu za toyota.

Crown ni flagship sedan from Toyota

Kwahiyo imepwndelewa sana
Ndo maana features za crown ya 2005
Unaweza usizipate hata premio ya 2017

Nazani gari ya kufikiria after crown ni
-Avalon
-Camry
-Lexus Gs

Pia kuna Toyota Altis
Sio class ya Crown lkn itakupa new experiences
 
Umeongea ukweli mtupu kweli kuna gari za 2017 hazina features za crown ya 2005[emoji23][emoji23][emoji119]

Hapo kwenye Lexus Gs penyewe hapo hivi beu zake zikoje?
 
Mfano :Adaptive Front-lighting System (AFS)
Hii features ni gari chache sana

Bei sijafatilia lakni hapo GS around 25m
 
Back
Top Bottom