Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Ahsante kwa hiliHapo kikubwa ni service ya engine hasa oil+oilfilter na itategemea na oil utayoweka
Mengine itategemea na gari yenyewe ikifika itakuwa ipo kene hali gani.so ni ngumu kujua exactly gari kama bado haijafika mkuu