Toyota hizi...!

Mi Naona Hapa cha Kuzingatia Ni Umakikini tu, Hizi Ishu Sijui Mjerumani, Sijui Muingereza ni Story za Vijiweni tu, Huyo Mjapan Mwenyewe kummiliki Jasho la Meno linakutoka ( Hapa Sizungumzii wale Famila Bora na Waendesha Magari Ya Shemeji )
Ndio umakini unatakiwa! Ila hata kama HUKUBALI fact iko hivyo, germany made na japanese ni kifo na usingizi ie havifanani kwa ubora! Itabaki hivyo.

Na kuepuka ajali ni combination ya mambo mengi..ubora wa gari, unaendeshaje, miundo mbinu etc.

Hilo halihitaji akili nyingi.

Mshanajr
 
Lakini si mlifika salama..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
kabala sijawa na familia nilikuwa na tabia ya kuendesha high way si chini ya 120 kph....

Baada ya kuwa na familia, huwa nikifika 100kph nahisi roho inatoka....
Pale kwenye kisahani huwa natamani kufuta zile namba zote zinazoanzia 110 mpaka 180 kph...
Hazina kazi tena kwangu..
Yote tisa....kumi tuzingatie sheria za usalama barabarani....
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji108][emoji123]
 
Shida ya online inachukua muda kidogo kufika na mimi kwa tabia yangu siwezi kukaa na gari mwezi imepaki roho inauma kama Nina mgonjwa vile ,halafu mashabiki nao wanakulegeza wanakwambia tulisema hii gari utaipaki tuuu
Me ningekushauri ishi maisha yako mwenyewe... LIVE YOUR OWN LIFE...ukiangalia mashabiki wanasemaje juu yako nakuhakikishia kuna siku utauza gari ununue matairi...kisa mashabiki wamesema matairi ni kipara..

Kuna baadhi ya speare zinaenda kwa kilometres ndiyo ubadili...ukiona kilometres zimekaribia unaagiza na kinafika kwa muda muafaka...usisubiri mpaka kife kabisa...labda kiharibike kwa ghafla sana

Nimewahi kufanya hivi kwenye kanissan kangu.
 
Sometimes ushauri na maneno ya watu ni ya kuzingatia unaweza dhani unajua kila kitu kumbe bwege tu ,nimejifunza vitu Vingi kupitia watu ,wewe endelea kuishi maisha yako mi naishi na watu japo ushauri umezingatiwa
 
Sometimes ushauri na maneno ya watu ni ya kuzingatia unaweza dhani unajua kila kitu kumbe bwege tu ,nimejifunza vitu Vingi kupitia watu ,wewe endelea kuishi maisha yako mi naishi na watu japo ushauri umezingatiwa
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]mbona kama jazba imehusika hapa
 
Pole pole ndiyo mwendo.[emoji16][emoji16][emoji16]
haya maspeed yameshapeleka vija wengi sana kaburini
ni kweli Mkuu, mm km nimebeba familia mwisho 100 km/h nikiwa mwenyewe mwisho 140 km/h lkn godoro na ushuzi kwani nasikilizia ni tairi ipi italia paaa!! simalizi kilomita 2km narudi 110
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…