Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Ndio umakini unatakiwa! Ila hata kama HUKUBALI fact iko hivyo, germany made na japanese ni kifo na usingizi ie havifanani kwa ubora! Itabaki hivyo.Mi Naona Hapa cha Kuzingatia Ni Umakikini tu, Hizi Ishu Sijui Mjerumani, Sijui Muingereza ni Story za Vijiweni tu, Huyo Mjapan Mwenyewe kummiliki Jasho la Meno linakutoka ( Hapa Sizungumzii wale Famila Bora na Waendesha Magari Ya Shemeji )
Na kuepuka ajali ni combination ya mambo mengi..ubora wa gari, unaendeshaje, miundo mbinu etc.
Hilo halihitaji akili nyingi.
Mshanajr