Toyota hizi...!

Nimesikitika na kuumia sana utafikiri nlikua namjua Ndugu Marehemu...... Rest in peace Brother.....
 
sasa mkuu kama tunawapa tahadhari na kwa mifano hai ya kutisha bado wanaahidi kuserereka, si heri waende na RIP ya kishika uchumba kuliko kuituma akiwa ameshasinzia!
Tatizo wanafikiri wao ndio wanaokimbia kumbe ni gari linalokimbia na linaloanguka ni gari na wao ni wahanga wa gari kuanguka!
 
Uache na hela advance ya sanduku kabisa usije ukawapa taabu familiya awamu hii mitaani pagumu si unajua
Ajali ya mtu mwingine haiwezi kunifanya niongope kukanyaga mafuta..... Kesho asubuhi na safari ya Mbeya+Tunduma nikitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi nataka saa kumi niwe Tunduma.... Nimesha andaa na hela ya faini kabisa ya matrafiki
 
Toyota za Kimarekani mwisho wa kazi speed 220 na hata ugonge jiwe itachubuka tu na kimkunjo kidogo..... hizi gari za mchina inagonga boda Boda inakanika vipande viwili
 
Ajali nyingi za barabarani kwa uzoefu wangu ni kutozingatia sheria na miiko ya driving..Ni kweli kabisa ata nchi kama South africa ambapo gari nyingi max speed ni 240,ajari nyingi ni vijana ndo zinawakuta...Walio wengi wao awafuati sheria,wala kuzingatia alama za bara barani!! Mfano kuna wengine ata kwenye zebra wanapiga honi kuharakisha wapitao kwa miguu,au awasimami kabisa...Kikubwa ni displine na umakini ukiwa barabarani
 
TUONGEE UKWELI HAYA YAFUATAYO NDIYO SHIDA KUBWA

1. USHAMBA WA MAGARI
2. UVULANA/USICHANA/ UJANA /SIFA
3. UWEZO MDOGO WA KUENDESHA HIGHWAY AU TUSEME KWA BONGO NJIA ZA MKOANI
4. MIUNDOMBINU/BARABARA FINYU NA KONA ZA GHAFLA
5. UZEMBE WA MADEREVA/ MAZOEA/UCHOVU
6. POMBE WAKATI WA SAFARI/AU KUAMKA NAZO
7. MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO MENGI MABOVU NA HAWAFUATI WALA KUZINGATIA SHERIA, WALA KUJALI WATUMIAJI WENGINE
8. TRAFFIC WANAKULA SANA RUSHWA, NA WANAKOMOA MADEREVA WASIO TAYARI KUTOA RUSHWA
9. UKIWA SAFARINI JITAHIDI UWE NA MWENDO WA KIASI MFANO MAXIMUM 120KM/HR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…