ile EVO 6 iko moded stage 3 moto wake sio wa mchezo,hio GT-R ikiwa stock(480hp-545hp) inaachiwa manyoya tu.
Kuna EVO 6 niliiona kwa madiba ina HP 1100 nadhani moto wake hapo unauelewa mzee baba.
Jason anawapiga sana wanamueshinu sana yule mwambaHuku wanakutana na wakina Jason wanawaburuza vzr tu.
Hahah Na most of the time Evo inakuaga Superior kwa STI.Hii battle ilirudiwa mara mbili hii STI ilipigwa zote mbili back to back wakenya hawakuamini. View attachment 1646342View attachment 1646343View attachment 1646344View attachment 1646345
Mara ya kwanza.Huku wanakutana na wakina Jason wanawaburuza vzr tu.
Iyo STI imprezza iliichapa GTR vibaya sana nayo ikaja chapwa na EVO 6 [emoji91][emoji91][emoji91]
Mara ya pili ikarudiwa tena [emoji91][emoji91][emoji23]View attachment 1646349
Mara ya kwanza. View attachment 1646348
Mara ya pili ikarudiwa tena [emoji91][emoji91][emoji23]View attachment 1646349
Speed gun ilisoma 360km/h mzee baba.Duh HP 1100 mzee baba hiyo gari itakua na speed ngapi mkuu
Mara ya kwanza. View attachment 1646348
JF sijui hata ina shida gani mzee baba,video/attachments kwangu siku hizi hazifunguki.Mara ya pili ikarudiwa tena [emoji91][emoji91][emoji23]View attachment 1646349
Binafsi naangalia power ya gari na reliability. Ndio maana land cruisers hasa za hard tops au mayai lakini models za zamani, ni gari nzuri sana. Ijapokuwa fuel consumption iko juu, gari kuku-let down gharama za maintenance nk. ni mara chache sana sana. Na zinadumu miaka mingi sana bila kuhitaji overhaul kubwa. Na inaenda popote na kokote bila kuharibika. Na ina nguvu hata ya kuvuka mto au kupita barabara ya tope kali au majabali bila shida. IST hata safari ya mikoani unaiumiza tu. Hio ni gari ya kupiga round za ndani ya mji tu tena kwenye lami nzuri.Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!
Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Msiangalie sana ku-save mafuta. Gharama mnazotumia kufanyia hayo magari maintenance inazidi kabisa gharama za mafuta mtu mwenye land cruiser. Manake at the end of the day, mtu mwenye land cruiser gari inadumu miaka na miaka, yako imeshaisha. Umemalizwa garage, yeye hajaumia maintenance. Gari yake inakanyaga popote kokote muda wowote, yako haiwezi. Msiangalie sana mafuta, angalieni reliability ya gari. Hapo ndio mnakoseaLigi ya nini kaka ?!. Kwanza mafuta umetumia nusu ya wao
JF sijui hata ina shida gani mzee baba,video/attachments kwangu siku hizi hazifunguki.
Maxence Melo tunaomba msaada wa tatizo hilo common la attachments kutofunguka.
Speed gun ilisoma 360km/h mzee baba.
Mbona inawezekana tu. Hapo sio suala la model ya gari, ni suala la engine. Ukiweka more powerful engine kwa gari ndogo, ni sawa na jitu lenye nguvu kama Samson wa biblia anasukuma katoroli kadogo. Kumbuka power ya gari sio mwonekano wa nje. Bali ni engine.Hii battle ilirudiwa mara mbili hii STI ilipigwa zote mbili back to back wakenya hawakuamini. View attachment 1646342View attachment 1646343View attachment 1646344View attachment 1646345
Wenzako huto tugari tukiwachelewesha wanavipakata kwapani ndukiiWiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho!
Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Kuweka powerful engine unamaanisha nini?Mbona inawezekana tu. Hapo sio suala la model ya gari, ni suala la engine. Ukiweka more powerful engine kwa gari ndogo, ni sawa na jitu lenye nguvu kama Samson wa biblia anasukuma katoroli kadogo. Kumbuka power ya gari sio mwonekano wa nje. Bali ni engine.
Gari inapotoka kiwandani, inakuwa na engine ya kiwandani. Lakini engine nyingine inaweza kuwekwa katika gari hiyo on the streets. Cha muhimu ni engine itoshe katika engine compartment, and in many cases compartments can handlr bigger engines. Kwa hio gari yenye 2000cc (4 cylinders) inaweza kuwekewa engine ya 3000cc (6 cylinders) au zaidi. In that case, itakuwa na power zaidi.Kuweka powerful engine unamaanisha nini?