Toyota IST imeniangusha sana

Toyota IST imeniangusha sana

Wiki iliyopita niliamsha IST yangu kwenda Kahama, safari ilikuwa tamu, japo nimeumia sana kuona napitwa njiani kama vile nimesimama, japokuwa nilikuwa nakanyaga mafuta mpaka mwisho! Nimeumia sana! Siitumii tena nimeapa
Na wasiwasi iyo ist itakuwa mbovu
 
Back
Top Bottom