Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
View attachment 1637809
Niwapo barabarani baada ya kuhakiki usalama wa nnapopita na nnakoelekea, ndani ya chombo changu ni mimi na mziki.
Hulka yangu na huyo dada ni asilimia 500. Hivyo wanaoniovateki hawanisumbui hata.
K Matata.
Kasie mapenzi....
Naomba jina la hii nyimbo iliyokuwa inapigwa hapo tafadhali